Waziri wa Katiba na Sheria Mhe:Mthias Chikawe. akitoa hotuba wakati akizindua kitabu kiitwacho (Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania) kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Tanzania, Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba,uzinduzi huo ulifanyika kwenye Hotel ya Peacock jijini Dar es salaam leo. (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE).
Waandishi wa habari wakisikiza kwa umakini hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe:Mathias Chikawe. wakati wa uzinduzi wa kitabu kiitwacho (Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania)kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Tanzania, Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba.
Mtunzi wa kitabu cha (Mabadiko ya Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba,akielezea maudhui ya kitabu hicho kabla yakuzinduliwa.
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa kitabu cha (Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania) kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Tanzania, Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe:Mathias Chikawe(kulia)akikata utepe kuzindua rasmi kitabu hicho(katikati) Mtunzi wa kitabu cha (Mabadiko ya Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba(kushoto) Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi.
) Waziri wa Katiba na Sheria Mhe:Mthias Chikawe(kulia)akionesha kitabu hicho mara baada ya kukizindua(katikati) Mtunzi wa kitabu cha (Mabadiko ya Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba(kushoto) Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mathias Chikawe(kushoto)akimkabidhi kitabu Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi. mara baada ya kukizindua(katikati) Mtunzi wa kitabu cha (Mabadiko ya Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba (kushoto).
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Mtunzi wa kitabu cha (Mabadiko ya Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba(kushoto)akisalimiana na Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi alipowasili kwenye ukumbi wa Hotel ya Peacock jijini Dar es salaam leo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho.