Serikali ya Ujerumani yatoa punguzo la kodi kwa mashoga walio katika ndoa.
Mahakama ya Shirikisho la Ujerumani imesema kuwa sheria inayowapa punguzo la kodi watu walio katika ndoa ya mume na mke pekee yao ni kinyume cha katiba. Mahakama hiyo iliyoko mjini Karlsruhe imesema...
View ArticleNani Kumrithi Miss Tanzania Brigit Alfred Taji la Redd’s Miss Sinza?
Warembo 11 kati ya 12 wanaopanda jukwaani leo kuwania Taji lenye Sifa Kuu mbili ya Redd’s Miss Sinza 2013, lakini pia linaloshikiliwa na Redd’s Miss Tanzania 2012-2013, Brigit Alfred, leo katika...
View ArticleRais Putin wa Russia atengana na mkewe baada ya ndoa iliyodumu kwa miaka 30.
Rais Vladimir Putin wa Russia ametengana mkewe Lyudmila Alexandrovna baada ya kuishi maisha ya ndoa kwa miaka takriban 30. Rais huyo mwenye umri wa miaka 30 na mkewe wametoa tangazo hilo katika...
View ArticleMzee Nelson Mandela hali mbaya alazwa tena hospitali kutokana na kusumbuliwa...
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela amelazwa tena hospitali kutokana na kujirudia tena kwa ugonjwa wa mapafu. Afya ya Mandela mwenye umri wa miaka 94 ilianza kudhoofika na kubidi...
View ArticleKila la kheri Taifa Stars: Nape.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeitakia kila la kheri timu ya Taifa Stars ambayo inacheza kutafuta tiketi ya kucheza kombe la dunia mwaka 2014. Taifa...
View ArticleEU team of experts on Nuclear Safety and Security visits Tanzania.
EU Team of Experts on Nuclearsafety and Security Visits Tanzania June 7, 2013 by dewjiblog
View ArticleHoyce Temu akonga nyoyo za washiriki wa semina ya ‘How To Find Your Destiny’.
Mwendesaji wa semina ya “How To Find Your Destiny” Hoyce Temu akisikiliza utambulisho kutoka kwa washiriki waliohudhuria semina hiyo ambao baadhi yao ni wajasiriamali, waajiriwa wa serikali, Mentors...
View ArticlePresident Kikwete congratulates Queen Elizabeth II on her 87th birthday.
H.E Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to Her Majesty Queen Elizabeth II on the occasion of her 87th Birthday.The message reads as...
View ArticleOrijino Komedi yalamba bingo yasaini mkataba mnono wa usimamizi na Nexus...
Mkuu wa Kitengo cha Vipaji na Uendelezaji wa Biashara wa Kampuni ya Rockstar 4000 Bi. Christine Mosha “Seven” akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo ambapo amesema amefurahishwa...
View ArticleUjumbe wa PLO wakutana na Kinana Leo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (HKT) ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose, akimlaki Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (PLO) Tayseer Khalid, baada ya kumpokea...
View ArticleMkutano wa Wahariri wa vyombo vya Habari na TANAPA waendelea mkoani Iringa.
Mkurugenzi wa Shirika la hifadhi za taifa TANAPA Allan Kijazi akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa washiriki wa mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari na TANAPA unaofanyika kwenye ukumbi wa Siasa na...
View ArticleWorld’s oldest Man ever dies in Japan aged 116.
Jiroemon Kimura, who was also the world’s oldest living person, was admitted to a Kyoto hospital for pneumonia in May but passed away in the early hours of Wednesday morning. The Guinness World...
View ArticleUrusi yapitisha miswada ya kupinga ushoga na kejeli za kidini.
Wabunge nchini Urusi wameidhinisha mswada unaoruhusu hukumu ya vifungo vya jela vya hadi miaka mitatu kwa kosa la kuwaudhi waumini wa kidini. Mswada huo ulianzishwa mwaka jana baada ya wanachama wa...
View ArticlePapa Francis azungumzia suala la utumikishaji watoto kinyume na sheria.
Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis leo amezungumzia dhidi ya kuwatumia kinyume na sheria watoto katika kazi za nyumbani, akisema visa vya kuwatumikisha kazi watoto...
View ArticleVyuo vya uuguzi na ukunga visivyosajiliwa kuchuliwa sheria ikiwemo kufungwa...
Na Magreth Kinabo-Maelezo. Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania limetoa agizo kwa mtu, kikundi au taasisi inayoendesha mafunzo ya uuguzi na ukunga bila kuwa na kibali kufunga mara moja. Aidha baraza...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda katika matukio tofauti Bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Utatibu, Mhe. Stephen Wasira. Bngeni Mjini Dodoma Juni 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)....
View ArticleTanapa yakabidhi Tuzo kwa Waandishi wa Habari Mkoani Iringa.
Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki akimkabidhi Mwandishi Musa Juma kutoka gazeti la Mwananchi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja na laki tano aliyoshinda baada ya kuandika...
View ArticleRais Kikwete apokea Ujumbe toka kwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika leo...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt Donald Kaberuka ulioletwa kwake na mwakilishi mkazi wa Benki hiyo nchini Mhe.Tonia...
View ArticleArusha wachoshwa na siasa za vurugu.
Meya wa Jiji la Arusha, Ndugu Gaudence Lyimo akihutubia wakazi wa kata ya Themi na kuwataka wasifanye makosa katika uchaguzi huu. Rehema Mohamed maarufu kama Iron Lady akihutubia wakazi wa kata ya...
View ArticleDrunk Women ‘Made Boy Aged 10 Drive Them Home’.
Two women have been arrested after making a 10-year-old boy drive them home because they were drunk. Police in Louisiana responded to a call about car being driven recklessly on Interstate 10 – and...
View Article