HMT @ Farmers Market Saturday 22nd February 2014 at the Oysterbay Shopping...
This Saturday 22nd February 2014 at the Oysterbay Shopping Centre, HMT will be participating in the Monthly Farmers Market. Cookbooks will be on Sale.
View ArticleTamko la kupinga na kukanusha taarifa za upotofu na uharibifu wa Augustino...
Bw. Alex Kassuwi. NDUGU ZANGU ASANTENI KWA KUNIPIGIA SIMU NYINGI SANA NA KUNITAKIA KHERI. NILIKUWA SAFARINI. ASANTENI KWA SUPPORT. NINATOA TAMKO LA KUPINGA NA KUKANUSHA TAARIFA ZA UPOTOFU NA UHARIBIFU...
View ArticleUN and Worldreader launches e-reader initiative in Tanzania
Children read digital books in Kiswahili at a school in Tanzania during an earlier programme. Cross-posting this from The Telegraph written by Rhiannon Williams —The United Nations has launched an...
View ArticlePhilips’ Fabric of Africa report highlights innovation in tackling...
“Facing the Future : Tackling Non-Communicable Diseases in Africa” reviews current practical efforts to address NCDs in African countries Royal Philips (AEX: PHI, NYSE: PHG) (http://www.philips.com)...
View ArticleWanafunzi 10 bora matokeo kidato cha nne 2013
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, Dk. Charles Msonde, akitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT), Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Naibu Katibu...
View ArticleKLM first airline to let passengers pay ‘socially’ via Facebook or Twitter
With over 5 million Facebook fans (the most of any airline in the world) and more than 800,000 followers on Twitter, and a wide range of social media initiatives, the KLM brand has become synonymous...
View ArticleWazazi na walezi washauriwa kuchukua tahadhari na madalali wa Elimu
Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii katika halmashauri ya wilaya ya Singida,Elia Digha,akitoa taarifa yake mbele ya kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika mjini Singida.(Picha na Nathaniel...
View ArticleSemina ya Wasanii mbalimbali wa Muziki na Bongo Movie yafanyika Jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Chief Promotion, Amoni Mkoga akitoa hotuba yake wakati wa semina ya wasanii wa Muziki pamoja na Bongo movie iliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es...
View ArticleViongozi wa mashirkisho ya wasanii nchini walipotinga Bunge la Katiba mjini...
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta (mwenye koti jeusi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini . Viongozi hao...
View ArticleJeshi la Polisi Iringa latoa angalizo Jimbo la Kalenga
Na Datus Boniface, Jeshi la Polisi JESHI la Polisi mkoa wa Iringa limepiga marufuku kwa Mwananchi kuhudhuria mikutano ya kampeni wakiwa na marungu na mapanga hasa wakati huu wa kampeni za kuwania kiti...
View ArticleSpika afungua semina kuwaelimisha wajumbe wa Bunge la Katiba kuhusu haki za...
Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah akimkaribisha Spika wa Bunge la Jamhuri Anne Makinda kufungua semina jana mjini Dodoma kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba...
View ArticleRais Kikwete akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Misri Ikulu jijini Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara...
View ArticleMaoni ya Mnyika kuhusu matokeo ya Mtihani Kidato cha Nne 2013
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mh. John Mnyika. Maoni yangu kuhusu matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaliyotangazwa na kuelezwa kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 15.17...
View ArticleOfisi ya Taifa ya Takwimu yakanusha kuzibana Wizara
Meneja wa Teknojia ya habari na Masoko Bi. Mwanaidi Mahiza. Na Veronica Kazimoto - MAELEZO Ofisi ya Taifa ya Takwimu imetoa wito kwa viongozi mbalimbali wakiwemo wanasiasa wote nchini kutumia...
View ArticleRais Kikwete asaidia kuendesha harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa baada ya kuwasili katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto...
View ArticleTamasha la Pasaka 2014 kuja kivingine
Tamasha la pasaka la Mwaka huu litakalozinduliwa rasmi April 20,jijini dar likibeba kaulimbiu ya “Tanzania kwanza haki huinua Taifa”,litaemdendeshwa kwa namna ya Wadau wenyewe kuchagua waimbaji,aidha...
View ArticleMajambazi wanne wauawa na Polisi Arusha, wakutwa na Bastola Risasi 7
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Sabas. Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha Watu wanne ambao bado hawajafahamika wanaume wanaokadiriwa...
View ArticleFuso kuimarisha sekta ya usafirishaji Tanzania baada ya kuzindua aina mpya za...
Toleo jipya la Fuso aina ya FJ ikiwa kwenye muundo wa tipper lenye uwezo wa kubeba tani 25 maalum kwa ajili ya sekta ya ujenzi na uchimbaji wa madini. Toleo jipya la Fuso aina ya FI lenye uwezo wa...
View ArticleMisaada kwa yatima na mapacha wanne yafika Salama Mbeya
Aida Nakawala (25) mkazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, ambaye alijifungua watoto wanne kwa mkupuo (Quadruplets) usiku wa kuamkia Mwaka mpya wa 2014 katika Hospitali ya Wazazi...
View ArticleSerikali kubadili mfumo wa uzalishaji ili kuleta tija katika sekta ya kilimo
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mikakati mbalimbali ya wizara yake katika kuendeleza sekta ya kilimo...
View Article