Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Spika afungua semina kuwaelimisha wajumbe wa Bunge la Katiba kuhusu haki za wanawake kuingizwa kwenye rasimu ya Katiba mpya.

$
0
0

annnna

Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah akimkaribisha Spika wa Bunge la Jamhuri Anne Makinda kufungua semina jana mjini Dodoma kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.

spka

Spika wa Bunge la Jamhuri Anne Makinda akifungua semina jana mjini Dodoma kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.

2

Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba jana mjini Dodoma juu ya umuhimu wa kuwa kitu kimoja katika kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya kwenye mkutano huo. Wengine katika picha ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(katikati) na Makamu Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Suzan Lyimo(kulia).

doroth

Mmoja wa Wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Doroth Malechela akichangia mjadala jana mjini Dodoma uliandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform kwa lengo la kuwaelimisha wanawake wajumbe juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.

1

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Suzan Lyimo(kulia) wakibadlishana mawazo jana mjini Dodoma wakati wa semina kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.

vero

Mmoja wa Wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba anayewakilisha wakulima wadogo Veronica Sophu akisititiza umuhimu wa kuwepo na usawa kwa wakulima wakati wa mjadala jana mjini Dodoma uliandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform kwa lengo la kuwaelimisha wanawake wajumbe juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.

wajumbe

Baadhi  ya wajumbe wanawake wa Mkutano  wa Bunge Maalum la Katiba wakiimba jana mjini Dodoma wakati wa semina kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.(PICHA NA MAELEZO_Dodoma).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles