Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Viongozi wa mashirkisho ya wasanii nchini walipotinga Bunge la Katiba mjini Dodoma

$
0
0

1b

Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta (mwenye koti jeusi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini . Viongozi hao walikuwa mjini Dodoma  kwa ajili ya kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya  Katiba mpya.

2

Baadhi ya  viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini  wakibadilishana mawazo  jana wakati walipofika kwenye eneo la Mkutano Maalum wa Bunge Maalum kwa lengo la kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya  Katiba mpya.

ngonyan

Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Ngonyani (kulia) akibadilishana mawazo jana wakati Viongozi hao walikuwa mjini Dodoma jana kwa ajili ya kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya Katiba.

pamoja

Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Ngonyani (kulia) na Dkt. Hamis Kigwangalla (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini . Viongozi hao walikuwa mjini Dodoma kwa ajili ya kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya  Katiba mpya. Picha na MAELEZO-Dodoma.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles