Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Semina ya Wasanii mbalimbali wa Muziki na Bongo Movie yafanyika Jijini Dar

$
0
0

001

Mkurugenzi  Mtendaji  Kampuni ya Chief Promotion, Amoni Mkoga akitoa hotuba yake wakati wa semina ya wasanii wa Muziki pamoja na Bongo movie iliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es Salaam 21 Februari-2014 lengo la semina hiyo ilikuwa kuzungumzia hakimili kwa wasanii pamoja na kujiunga na mifuko ya jamii ili kujiwekea akiba ya baadae (kushoto), Afsa Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafiri Mbibo (watatu kulia), Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka, na wakwanza kulia Kaimu Mwanasheria COSOTA Bw,Zephania Lyamuya.

002

Mkuu wa Mawasilano Promosheni na Uhamasishaji wa Mfuko wa Uthibiti wa Mfuko  Hifadhi Nchini (SSRA), akiwaelezea wasanii kuhusiana na mifuko mbalimbali ya hifadhi ya  jamii kama NSSF,PSPF ,LAPF,GEPF,PPF,NHIF  juu ya faida pale wapofikia muda wakustaafu kazi  kisanii au kupatwa na matatizo mbalimbali (katika), Mwanasheria COSOTA Bw,Zephania Lyamuya (kusho), Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw. Philemon Kilaka.

003

Afsa Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafi Mbibo akiwaelezea wasanii mwongozo wa utumiaji mashine maalumu za kodi za kielekitroniki (EFDs), wakati wa semina ya hatimiki kwa sanii mbalimbali wa bongo movie pamoja na muziki,

004

Kaimu Afisa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.akiwalezea wasanii jinsi hakimiliki na mikataba katika kazi za sanaa.

005

Afisa wa Mfuko wa Penseni (PSPF), Haji Jamadary, nae akiwaelezea wasanii kuhusiana na uchangiaji katika mpango wa hiyari wakati wa kutegemea upatikanaji wa kipato cha ziada kwa ajiliya akiba.

006

Mwenyeki wa Bongo Movie, Steven Mengeze akiwasisitiza wasanii wenzake kuhudhuria kwenye semina pamoja na  kujiunga na  mifuko ya hifadhi ya jamii na namna ya kufuatilia  upatikanaji wa haki za kazi zao za sanaa.

007

Wasanii mbalimbali wakifuatilia kwa umakini mada mbalimbali wakati wa semina hiyo.

008

Msanii Aliy Mango akionesha umahiri wake wakucheza na nyoka wakati wa semina hiyo.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM).

009

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles