President Kikwete Meets with British and French Ministers in Warsaw
President Jakaya Mrisho Kikwete meets with the British Secretary of State for Environment and Climate Change Mr.Ed Davey at the Bristol hotel in Warsaw, Poland for bilateral talks. President Jakaya...
View ArticleTamko la kujiuzulu Makamu Mwenyekiti (Bara) wa Chadema
Said Amour Arfi (Mb). Salaam, Napenda kuwasilisha kwako (Mwenyekiti Taifa CHADEMA) taarifa ya kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara kuanzia Ijumaa 22 Novemba 2013 kwa kuchoshwa na Unafiki...
View ArticlePinda akutana na Waandishi wa Habari kutoka China
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari kutoka China baada ya mahojiano, ofisini kwake mjini Dar es salaam, Novemba 22, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
View ArticleHapatoshi Chadema: Zitto, Dk.Mkumbo wavuliwa Uongozi, Arfi ajiuzulu
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu Maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama hicho ya kuwavua nyazifa Naibu Katibu Mkuu,Zitto Kabwe na Mjumbe wa...
View ArticleSerikali yakiri kuna changamoto za kimfumo katika sekta ya Viwanda, Biashara
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza katika kilele cha Siku ya Viwanda Afrika katika ukumbi wa PTA sabasaba wakati wa kufunga maonyesho hayo ya siku ya viwanda katika bara la Afrika. Na MOblog Team...
View ArticleKinana amaliza ziara Ruvuma, aelekea Kyela kwa Meli
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mbunge wa...
View ArticleBalozi Sefue akutana na Mkuu wa Taasisi ya Uongozi ya China
Makamu wa Rais wa Taasisi ya Uongozi ya Jamhuri ya Watu wa China Mh.Hong Yi akimkabidhi nakala ya kitabu chenye nasaha za watu mashuhuri kutoka jamhuri ya watu wa China Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
View ArticleMiss Ilala 2013 Dorice Mollel hands over 132 story books worth 200,000 to...
Mkuki wa Nyota Editor Godance Mkuki(right) hands over 132 story books to Miss Ilala 2013 Doris Mollel at the Ukonga primary school premises in Dar es Salaam during the climax celebration of the...
View ArticleMakamu wa Rais akabidhi Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafl ya kutoa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na...
View ArticleAfrican insurers must address looming technology challenge
-Lack of information and communication technology (ICT) infrastructure is holding the African insurance market back The African Insurance Organisation has long warned that lack of information and...
View ArticleKinana atembelea wilaya ya Rungwe Mashariki na kukagua miradi ya maendeleo
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari ya Mwakaleli. Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akikata ubao...
View ArticleKatika Siasa hakuna Malaika wala Shetani – Maria Sarungi
Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali kwa upande wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinachonisukuma kusema kuwa tunachoona hivi sasa ni historia. Bila kupoteza muda mrefu kujaribu kuzungumzia...
View ArticleMakamu wa Rais afungua Kongamano la CAPA jijini Arusha leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Nchi Wanachama wa Shirikisho la Viwanda vya Utengenezaji Nguo kwa nchi...
View ArticleMinister Membe officiates the Opening of the Consulate of Botswana
Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation officiates the opening of the Consulate of the Republic of Botswana in the United Republic of Tanzania today in...
View ArticleWakuu wa Shule zaidi ya 3,000 wapatiwa mafunzo ya kuimarisha Utendaji Kazi,...
Katika kuimarisha utendaji wa shule, Wakuu wa shule za sekondari 3,001 wamepatiwa mafunzo ya kuimarisha utendaji wa kazi zao kwa lengo la kuleta Matokeo Makubwa Sasa (MMS) kwenye sekta ya elimu....
View ArticleUjumbe wa Viongozi wa Serikali za Mitaa kutoka China wakutana na Dk.Nchimbi,...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kulia-meza kuu) akizungumza jambo na Kiongozi wa msafara wa ujumbe kutoka Serikali za Mitaa za China, Makamu Gavana wa Jimbo la Shandong Xia...
View ArticleJoyce Kiria na timu nzima ya WANAWAKE LIVE inatoa shukrani za dhati kwa wote...
Na Joyce Kiria Kipindio cha televisheni cha Wanawake Live kinapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wadau wote kupitia mitandao yao katika kutoa support na kutuunga mkono ili elimu tunayotoa ifike...
View ArticlePinda akutana na Magavana na wafanyabiashara toka China
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya chai kutoka kwa Bing Zhingang, Makamu Gavana wa wa jimbo la Liaoning nchini China baada ya kuzungumza na ujumbe wa Magavana kutoka China, Ofisinni...
View ArticleWaziri Dk.Nchimbi azindua Mpango Mkakati wa miaka mitatu wa kuboresha...
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dr. Alberic Kacou akisalimiana na Kamanda wa Kanda Maalum Dsm, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Suleiman Kova alipowasili kwenye uzinduzi wa Mpango...
View Article