Image may be NSFW.
Clik here to view.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya chai kutoka kwa Bing Zhingang, Makamu Gavana wa wa jimbo la Liaoning nchini China baada ya kuzungumza na ujumbe wa Magavana kutoka China, Ofisinni kwake jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama zawadi ya picha aliyozawadiwa na Makamu Gavana wa jimbo la Shaanxi , Bibi Wang Lixia baada ya mazungumzo yake na ujumbe wa Magavana kutoka China Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2013.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mapambo kutoka kwa Jackerson Yan ambaye ni Mkurugenzi na Meneja Mkuu wa Gulf Development and Investment Group wakati alipokutana na ujumbe wa Magavana na wafanyabiashara kutoka China, Ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha Bw. Xia Geng, kiongozi wa ujumbe wa Magavana kutoka China baada ya kuzungumza na magavana hao, ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya Kinyago ,Bw. Xia Geng, kiongozi wa ujumbe wa Magavana kutoka China baada ya kuzungumza na magavana hao, ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jackerson Yan ambaye ni Mkurugenzi na Meneja Mkuu wa Gulf Development and Investment Group wakati alipokutana na ujumbe wa Magava na wafanyabiashara kutoka China, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2013. Katikati ni balozi wa China nchini, Lu Youqing.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)