Kinana awasili Songea Mjini
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ukipita leo katika ‘mkeka’ wa barabara, ulipokuwa ukitoka Namtumbo kwenda Songea, Kinana akiwa katika ziara mkoani Ruvuma, kukagua utelekezaji wa...
View ArticlePambika na Samsung yafanya droo ya kwanza kuelekea sikukuu za Mwisho wa Mwaka
Meneja Mauzo Rejareja wa Samsung, Sylvester Manyara akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa droo ya kwanza ya kuwatangaza washindi wa moja katia ya droo sita za kila wiki za Promosheni ya...
View ArticlePinda afungua mkutano wa Majaji Afrika
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande (kushoto) na Rais wa Mahakama ya Afrika Jaji Sophia Kuffo kabla ya kufungua mkutano wa majaji wa Afrika kwenye kituo...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awahutubia Wanasongea leo
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Sokoni Bombambili mjini Songea leo wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Ruvuma, akikagua...
View ArticleMayor Silaa raises 16.2 million
Guest of honour Mama Asha Bilal wife of the Vice President addressing invited guests. .Dawati Ni Elimu Art Brunch a success The First of its kind mayoral ball aims to raise TZS 4.98 Billion towards...
View ArticleMadaktari wako wapi?
Jumla ya Madaktari 890 kati ya 2,246 (ambayo ni sawa na 39.6%) ya Madaktari wenye shahada nchini Tanzania hawafanyi kazi ya kitabibu badala yake wanafanya kazi zingine. Aidha imebainika kuwa madaktari...
View ArticleWafanye Watabasamu waendesha mafunzo ya Uchoraji Lushoto
Mratibu wa programu ya Wafanye Watabasamu ambaye pia ni mchora vibonzo wa ITV, Nathan Mpangala (mwenye pensi nyanya), akiingia katika Kituo cha Ukuzaji Sanaa cha Koko’TEN kilicho Wilaya ya Lushoto,...
View ArticleSerikali kuendelea kutumia rasilimali kukabiliana na umasikini
Naibu Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa kupitia utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali (GBS) ulioshirikisha na Washirika wa...
View ArticleWorth every moment – Ralph Marston
Some days will be joyful and other days will be painful. Through it all, life is worth every moment. Some experiences will be frustrating and others will be exhilarating. Choose to see the positive...
View ArticlePan Africa Energy mbioni kumaliza ukarabati visima vya Gesi vya Songosongo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Felchesmi Mramba akitoa ufafanuzi jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam, juu ya kupungua kwa mgao wa...
View ArticleSkylight Band yazidi kuongeza utamu wa burudani, njoo ushuhudie kipaji kipya...
Aneth Kushaba AK47 akiongoza kikosi kazi cha Skylight Band kuwaburudisha mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki jijini Dar, usikose usiku wa leo burudani kem kem...
View ArticleNaibu Waziri wa Uchukuzi Dk. Charles Tizeba aendelea na ziara yake mkoani...
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba (wa tatu kutoka kulia), akiongea na fundi ambaye anafanya shughuli za ujenzi katika Daraja la Reli la Bahi-Kintinku. Dk. Charles Tizeba amefanya...
View ArticleWaziri Nchimbi afunga mafunzo ya kozi ya kuzima Moto wa Ndege Jijini Dar
Wahitimu wa Jeshi wa Zimamoto na Uokoaji wa kozi ya kuzima moto wa ndege wakizima moto kwenye ndege bandia kabla ya mafunzo yao kufungwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi....
View ArticleP-Square watua Dar “Kupagawisha Jumamosi Leaders Club”
Mwanamuziki wa kundi la P – Square, Paul Okoye akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarake Nyerere, Tayari kwa ajili ya kutoa burudani kwa Watanzania, Msanii huyo...
View ArticleBodi ya NBC yafanya mazungumzo na wateja wao Jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF) William Erio katika hafla iliyoandaliwa na bodi kwa wateja...
View ArticleMO is among the 10 Successful African Entrepreneurs To Follow On Twitter –...
Dewji is the CEO of Tanzania’s METL, a leading conglomerate with interests in manufacturing and distribution. He takes to Twitter to tweet business success quotes, links to stories about African...
View ArticleP – Square watoa wito kwa vyombo vya habari nchini
Paul Okoye wa kwanza kulia, akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu tamasha watakalolifanya kesho Jumamosi. Novemba 23 katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam. Wa pili...
View ArticleMarekani yaadhimisha miaka 50 tangu kuuawa J. F. Kennedy
Marekani leo inaadhimisha miaka 50 tangu kuuawa kwa kupigwa rais wa 35 wa nchi hiyo, John F. Kennedy, mjini Dallas tarehe 22 Novemba mwaka 1963 akiwa na umri wa miaka 46, na hivyo kuuzima mshumaa wa...
View ArticleBritain is Europe’s fastest growing country as population rises by 400,000 in...
.One third of the increase was down to immigrants but the other cause is that 243,900 more babies were born last year than people died .The number of live births in Britain was 813,000 in 2012, the...
View ArticleKinana afanya ziara kijiji cha Lituhi
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya jinsi ya kutumia vifaa vya maabara katika kufanikisha kutambua kemikali kutoka kwa wanafunzi wa kidato cha nne Erasto Ndumba na Stella...
View Article