Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Skylight Band yazidi kuongeza utamu wa burudani, njoo ushuhudie kipaji kipya cha Winfrida akifanya yake jukwaani

$
0
0

IMG_4265

Aneth Kushaba AK47 akiongoza kikosi kazi cha Skylight Band kuwaburudisha mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki jijini Dar, usikose usiku wa leo burudani kem kem bila kusahau staili yetu ya “Yachuma chuma” itachezeka.

IMG_4245

Kipaji kipya ndani ya Skylight Band anatambulika kama Winfrida, binti mwenye kipaji cha aina yake njoo akurushe na ngoma kali za zamani zilizotamba enzi hizo kama Holiday iliyoimbwa na Madonna.

IMG_4261

Aneth Kushaba AK47 na Winfrida wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.

IMG_4270

Kikosi kazi cha Skylight Band kikifanya yao jukwaani kwa mashabiki wake ndani ya kiota cha Thai Village sio ya kukosa jioni ya leo.

IMG_4277

Mashabiki kwa raha zao.

IMG_4289

Kipaji kipya ndani ya Skylight Band Winfrida (katikati) akifanya yake jukwaani huku akipewa support na Digna pamoja na Mary Lucos.

IMG_4311

Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo akitoa burudani kwa mashabiki wake.

IMG_4374

Shabiki mkubwa wa Skylight Band mdau Alois Ngonyani akiserebuka na burudani ya Skylight Band.

IMG_4321

Baadhi ya mashabiki wa Skylight wakijinafasi kwa raha zao.

IMG_4360

Mary Lucos akichizisha mashabiki wa Skylight Band.

IMG_4333

Burudani inapokelea ni full kujiachia.

IMG_4338

Shabiki aliyechizika na burudani ya Skylight Band na kuamua kupanda jukwaani kula sahani moja na waimbaji wa Band hiyo.

IMG_4340

Hapa ni burudani mwanzo mwisho mpaka kieleweke.

IMG_4341

Aneth Kushaba AK47 akiserebuka na shabiki wake nyimbo mpya inayobamba kila kona ya jiji inayoitwa SKELEWU kibao kilichoimbwa na msanii Davido ambapo kwa Skylight Band Sam Mapenzi anapiga miondoko hiyo LIVE…!

IMG_4344

Palikuwa hapatoshi Thai Village.

IMG_4348

IMG_4351

IMG_4354

IMG_4386

Picha juu na chini mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na mduara uliokuwa ukipomoshwa na Mary Lucos pamoja na Joniko Flower.

IMG_4389

IMG_4388

Mashabiki wakimwaga radhi.

IMG_4391

Aneth Kushaba AK47 akijimwaga na shabiki wa Skylight Band.

IMG_4322

Couples iliyobamba juma lililopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki.

IMG_4326

Mdau Reginald Melecky akishow love na marafiki zake.

IMG_4335

Aneth Kushaba AK47 akishow love na tajiri mtoto Eddie.

IMG_4408

Mwanafamilia wa Skylight Band Victor Maginga akishow love mbele ya camera yetu.

IMG_4248

Uzao wa BSS binti mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Mary Lucas wa Skylight Band katika pozi.

IMG_4258

Digna Mbepera wa Skylight Band katika pozi.

IMG_4256

Aneth Kusaba AK47 na Digna Mbepera wakiwa back stage katika pozi.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles