Mh. Makamba asisitiza matumizi ya TEHAMA kwa ofisi za Serikali na Sekta binafsi
Mgeni rasmi Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba akitoa salamu zake kwa wadau mbalimbali (hawako pichani) waliohudhuria mkutano kabla ya kutoa hotuba yake...
View ArticleWaajiri wametakiwa kushirikiana na Vyuo Vikuu kupata waajiriwa wanaowahitaji
Waziri wa Elimu na Mafunzo na Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano linalowashirikisha waajiri na wadau wa elimu ya juu kujadili maboresho ya mitaala na mahitaji ya...
View ArticleGlobal Publishers yakabidhi Mil 15 mamlaka ya Elimu Tanzania
Mkurugenzi wa Global Publishers, Masha Bukumbi akimkabidhi mfano wa hundi hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Rosemary Lulabuka. Kulia ni Meneja Mkuu wa Global Publishers Abdallah Mrisho, na...
View ArticleSixtus akutana na Waasisi wa UVCCM
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda, leo amekutana na wazee waasisi wa Jumuiya hiyo, Ofisini kwake, Makao Makuu ya UVCCM, Barabara ya Morogoro, jijini Dar es Salaam. na kuwa...
View ArticleA Tanzanian popular fashion designer Sheria Ngowi will unveils his collection...
Sheria Ngowi Company Limited, Assistant Director and Marketing Manager, Mr Deogratius Kessy (centre) elaborate a point to reporters not in picture about the invitation of Sheria Ngowi to the New York...
View ArticleKinana atembelea Kiwanda cha Wawekezaji kutoka China
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman leo ametembelea kiwanda cha nguo cha Dahong Textile kilichopo Shinyanga. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Balozi wa China nchini...
View ArticleRais Kikwete apokea hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Italy nchini
Rais Mh. Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mpya Dkt. Luigi Scotto (Kulia) kutoka Italia katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu- Dar es Salaam.. Rais Mh....
View ArticleBlackout is a burden to investors-Government
Minister for Industry, Trade and Marketing, Dr Abdallah Kigoda. By Staff Writer The government has admitted that the major constraint in the cement sector is reliable and cheap energy as well as poor...
View ArticleMh. Lowassa asimikwa kuwa Chifu wa Unyenyembe Mkoani Tabora
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akivishwa vazi maalum la Kichifu pamoja na kukabidhiwa Mkuki na Chifu Mkuu wa Kabila la Unyenyembe,Chifu Msagata Fundikira ikiwa...
View ArticleWaumini wa dini ya kiislamu watakiwa kuwa pamoja katika kuendeleza masuala ya...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Na Anna Nkinda – Maelezo Waumini ya dini ya Kiislam nchini wametakiwa kuwa pamoja katika kuendeleza masuala ya kiimani bila ya kuhitilafiana kwani hititafu ndogo huzaa...
View Article“Nina cement Kali ya Kuziba Mpasuko TPA”– Dr Mwakyembe
Na. Mwandishi wetu. Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe (pichani) ameipa siku moja Menejimenti ya Mamlaka ya Bandari (TPA) kutaja majina ya watu wanaoiba mafuta katika bomba kubwa la kupakulia...
View ArticleMaafisa Mawasiliano waaswa kuhabarisha na kuelimisha shughuli za Serikali
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Mawasilino Serikalini (hawamo pichani) wakati akifungua mkutano wa tathmini wa awamu ya kwanza ya...
View ArticleTanzania yalitaka Gazeti la Malawi News kuomba radhi kwa upotoshaji
Msemaji wa Serikali ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene akitoa ufanunuzi kwa waandishi wa habari jana mjini Dar es salaam juu ya taarifa zilizochapishwa na gazeti la Malawi...
View ArticleRais kikwete aanza ziara za Marekani na Canada
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) ameondoka nchini leo, Jumapili, Septemba 15, 2013, kwenda Marekani na Canada kwa ziara za kikazi ambako miongoni mwa...
View ArticleMh. Lowassa aendesha Harambee ya Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa la AICT...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Wachungaji Mapambano Jacob na Charles Lugembe wa Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya...
View ArticleSakata la rasimu ya Katiba Mpya Bungeni yawaunganisha wapinzani nchini
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akifafanua jambo wakati vyama vya upinzani vya Chadema, NCCR-Mageuzi na CUF vilipokutuna jijini Dar es Salaam na kutoa tamko...
View ArticleRais Jakaya Kikwete awasili Washington, DC
Rais Dkt Jakaya Kiwete akiingia Ritz Calton Hotel wakati alipowasili Washington, DC kwa kuendelea na ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia kwenye miji ya San Francisco na Vallejo, California....
View Article