Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Kinana atembelea Kiwanda cha Wawekezaji kutoka China

$
0
0

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman leo ametembelea kiwanda cha nguo cha Dahong Textile kilichopo Shinyanga.

gz1

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Balozi wa China nchini Lu Youqinq kuhusu mipango ya China katika kuwekeza Tanzania.

gz2

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akijaribu kuendesha gari maalum ya kuinulia mizigo huku akipata maelezo kutoka kwa Balozi wa China nchini Lu Youqinq alipotembelea kiwanda cha nguo cha Dahong Textile kinachojengwa mkoa wa Shinyanga.

gz3

gz4

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa China nchini Lu Youqinq na wawekezaji baada ya kumaliza kukagua maendeleo ya viwanda hivyo ambavyo vitaajiri maelfu ya Watanzania mara vitakapokamilika.

gz5

 

Balozi wa China nchini Lu Youqinq akimkabidhi zawadi Laptop Katibu wa CCM wa Wilaya ya Shinyanga Charles Charles.(Picha na Adam Mzee).

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles