Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Waajiri wametakiwa kushirikiana na Vyuo Vikuu kupata waajiriwa wanaowahitaji

$
0
0

IMG_1545

Waziri wa Elimu na Mafunzo na Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano linalowashirikisha waajiri na wadau wa elimu ya juu kujadili maboresho ya mitaala na mahitaji ya waajiri kwenye sekta ya ajira hapa nchini kwa vijana wanaomaliza elimu ya juu hapa nchini.(Picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha).

IMG_1491

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa akisikiliza Hotuba iliyokuwa inatolewa na mwenyekiti wa mkutano huo ambaye pia ni makamu wa mkuu wa chuo cha Mzumbe Prof.Josephat Itika (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku mbili kujadili changamoto mbali mbali zinazoikabili sekta ya elimu ya juu kwa kushirikiana na waajiri hapa nchini kuitatua changamoto hizo kongamano linalofanyika kwenye Hotel ya Naura Springs jijini Arusha kwa siku mbili.

IMG_1480

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi stadi Dkt Shukuru Kawambwa alipoku akiwasili kwenye ufunguzi wa Kongamano la Mamakamu wa vyuo vikuu la kujadili Maendeleo ya Elimu ya juu lililofanyika kwenye hoteli ya Naura Springs jijini Arusha.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles