Matawi ya Shirika la Bima (NIC) nchini kote yaunganishwa na mkongo wa...
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Justin Mwandu akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma za shirika hilo kupitia mkongo wa taifa wa mawasiliano ambapo matawi yote nchini ya shirika hilo...
View ArticleJOVAGO yashirikiana na Tigo Pesa kwa ajili ya malipo
Jovago imetangaza leo kwamba imeingia katika ushirikiano na Tigo Tanzania, kampuni ya simu inayoongoza nchini. Katika ushirikiano huu, wateja wa Tigo Pesa sasa wataweza kulipia malazi yao kupitia...
View ArticleNape aanza ziara kwenye vyombo vya habari
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki ( wa pili kutoka kushoto) akielezea masuala mbali mbali yanayohusu tasinia ya habari wakati wa mkutano na Katibu...
View ArticleNFT Consult wapania kuleta mabadiliko Tanzania
Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku moja iliyoendeshwa na kampuni ya NFT Consult kwa maofisa rasilimali watu na watoa mafunzo kutoka makampuni mbalimbali nchini wakifanya usajili kabla ya kuanza kwa...
View ArticleCancer Update from Johns Hopkins: Avoiding and fighting Cancer
1.Every person has cancer cells in the body. These cancer cells do not show up in the standard tests until they have multiplied to a few billion. When doctors tell cancer patients that there are no...
View ArticleJeshi la polisi nchini lashiriki kuzindua magari mapya ya kampuni ya ulinzi...
Mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Kamishina wa Polisi Mussa Ally Mussa akiwa na mkuu wa jeshi la polisi mstaafu Philimon Mgaya akikata utepe wa kuashiria kuzindua magari mapya zaidi ya...
View ArticleTaarifa kwa umma kuhusu muingiliano wa masafa EATV na ITV
Taarifa Kwa Umma Muingliano Wa Masafa Final by moblog
View ArticleMahakama: Macha mnunuzi halali nyumba ya Balenga
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imethibitisha kwamba mfanyabiashara Hans Macha (pichani) alinunua nyumba kwa kufuata utaratibu na kihalali kutoka kwa Ramadhani Balenga. Hayo yalithibitishwa jana...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam akabidhi mashine za kufyatulia matofali...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akizungumza wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za...
View ArticleZiara ya vyombo vya habari yamkutanisha Nape na Mbowe
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnuye akikutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alipofika katika Ofisi za Free Media, wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, jana akiwa katika ziara...
View ArticleTamko la pamoja kwa siku ya kimataifa ya kukomesha ukeketaji dhidi ya wa...
UNFPA, UNICEF, Shirikisho la Kimataifa la Wakunga na Shirikisho la Kimataifa la Magonjwa ya Wanawake na Uzazi. Wito kwa wafanyakazi wa afya duniani kote ili kuhamasisha kukomesha ukeketaji Kwa mwaka...
View ArticleMizengo Pinda aimiza Wabunge kushiriki mazoezi na michezo kulinda afya zao
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwapongeza wachezaji wa timu za Bunge la Jamuhuri kwenye tafrija ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 katika majengo ya Bunge hilo Mjini Dodoma. Waziri Mkuu wa Serikali...
View ArticleWasichana na wanawake milioni 130 wakeketwa barani Afrika na mashariki ya kati
Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Sofia Simba (Mb), akizungumza kwenye ufunguzi wa kongamano la siku mbili la maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kukomesha ukeketaji linalofanyika mjini...
View ArticleWiki ya ulinzi na usalama wa mtoto februari 9 – 15 mwaka huu
Baadhi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarisha. PRESS RELEASE WIKI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO.pdf by moblog
View ArticleNAPE: CCM haiwezi poteza historia ya TANU
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa akizungumza kwenye ofisi ya gazeti la Jambo leo ikiwa sehemu ya ziara yake kwenye vyombo vya habari. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amesema...
View ArticleRais Kikwete ahudhuria mazishi ya Mama mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, Dar...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6,...
View ArticleWaziri Membe alipongeza Kanisa la SDA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Benard Membe akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza Kuu la Makanisa ya Sabato Duniani Askofu Ted Wilson wakati wa siku ya ufungaji wa Kongamano...
View ArticleThe Problem With American Management, This Guy Just Explained It Perfectly!
A Japanese company and a North American company decided to have a canoe race on the St. Lawrence River. Both teams practiced long and hard to reach their peak performance before the race. On the big...
View ArticleShughuli mbalimbali za Waziri Mkuu Pinda -Dodoma
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na wafugaji kutoka Morogoro, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Februari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na...
View Article