Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na wafugaji kutoka Morogoro, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Februari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mawaziri baada ya kusoma hotuba yake ya kuahirisha Bunge mjini Dodoma Februari 7, 2015. Kutoka kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid na Waziri wa Fedha Sada Mkuya.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Februari 7, 2015,
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafugaji kutoka Morogoro kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 7, 2015.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza na baadhi ya wafugaji kutoka Morogoro kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 7, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozinuda Mpango wa Serikali wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma Februari 7, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuzindua Mpango wa Serikali wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma Februari 7, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kuzindua Mpango wa Serikali wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma Februari 7, 2015. Katikati ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anna Kilango.
Baadhi ya Wabunge walioshiriki katika uzinduzi wa Mpango wa Serikali wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) uliofanywa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma Februari 7, 2015.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikabidhi nakala ya Mpango wa Serikali wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anna Kilango.
Wanafunzi wa shule za Msingi za Dodoma wakiimba wakati Waziri Mkuu, MIzengo Pinda alipozindua Mpango wa Serikali wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma Februari 7, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wototo baada ya kuzindua Mpango wa Serikali wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma Februari 7, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Juliana Nyambo wa Chuo cha Ualimu cha Korogwe katika maonyesho ya zana mbalimbali za kufundishia kabla ya kuzindua Mpango wa Serikali wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) katika shughuli ilifanyika kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma Februari 7, 2015. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majliwa, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anna Kilango na Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Fatma Ally.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa (kushoto),Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anna Kilango (wapili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Fatma Ally (kulia) baada ya kuzindua Mpango wa Serikali wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) katika shughuli ilifanyika kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma Februari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).