Wamasai wataka uwekezaji kusitishwa Ngorongoro
Kiongozi wa mila tarafa ya Ngorongoro, Augustino Pakai Olonyokei akizungumza na Meneja uendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige aliyefika eneo hilo kwa ajili ya kuangalia miradi...
View Articlemodewjiblog inatoa pole kwa Mh Dk. Hamisi Kigwangalla kwa kufiwa na baba yake
Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla (CCM) ambaye ametangaza nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 amefiwa na baba yake mzazi Mzee...
View ArticleThe Top 5 Apps to Use in 2015
In 2013 Tanzania had 9.3 million people using the internet about 20 percent of the country’s population – and the number has increased ever since. Mobile application developers have noticed the...
View ArticleTigo kuwekeza dola milioni 1 kupanua huduma zake Zanzibar
Kaimu Meneja Mkuu mpya wa Tigo Bi. Cecile Tiano. Tigo Tanzania imepanga mwaka huu kujenga minara 10 mipya ya simu yenye thamani ya dola milioni moja (1) katika visiwa vya Zanzibar kama moja ya...
View ArticleBalozi wa Ireland akutana na Kinana
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan ofisini kwake leo februari 9,2015 jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman...
View ArticleMore than 400 exhibitors have applied for INDABA 2015
Over 400 travel and tourism products and services have applied to exhibit at Africa’s biggest and best established travel tradeshow. They include the widest variety and depth of African travel...
View ArticleMfumuko wa bei nchini wapungua
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Januari, 2015 leo jijini Dar es...
View ArticleBalozi Seif Iddi aipongeza USAID kwa kuisaidia Zanzibar katika kukabiliana na...
Kamanda Philip Knightsheen akitoa salamu za Shirika lake linalosimamia huduma za Kibinaadamu na Afya la Usafricom kwenye mafunzo ya siku tano ya zoaezi la kukabiliana na maafa Zanzibar katika...
View ArticleMwanahabari Frank kibiki awataka vijana kufanya kazi kwa bidii na kutumia...
Mwanahabari Frank Kibiki akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake. Na Mwandishi wetu, Iringa MWANAHABARI Frank Kibiki, aliyewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)...
View ArticleWakili: Mahakama imemtendea haki Macha
Na Mwandishi Wetu UPANDE wa utetezi katika kesi iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara Hans Macha (pichani), umesema Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetenda haki kwa kuthibitisha kuwa mteja wao...
View ArticleSerikali yaipongeza Access Bank kufungua tawi lake jijini Mbeya
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Access wakati alipokuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa tawi la benki hiyo jijini Mbeya...
View ArticleNAPE: Hakuna mgombea atakayepitishwa CCM kwa presha za makundi, ni kwa...
NA BASHIR NKOROMO Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe. Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya...
View ArticleWeather and Climate Services Underpin Sustainable Development in Africa
The Third Session of the African Ministerial Conference on Meteorology (AMCOMET) will be hosted by the government of Cabo Verde from 10th -14th February Ministers responsible for meteorology in Africa...
View ArticleTahadhari kwa wanawake kwa mtu huyu!
Pichani Malaria akiwa amejipumzisha kwenye kibaraza cha maeneo ya ofisi za Idara ya Habari Maelezo kama alivyokutwa na mpiga picha wetu. Na Andrew Chale, modewjiblog Hali ya sintofahamu juu ya mtu...
View ArticleShyrose Bhanji kuwafariji wasiojiweza,wagonjwa siku ya Wapendanao
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shyrose Bhanji. Na Andrew Chale, modewjiblog Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shyrose Bhanji anatarajia kusherekea na watu wasiojiweza pamoja na...
View ArticleNape atembelea Business Times wanaochapa Majira na Spoti Starehe
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kushoto), akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Business Times, Imma Mbuguni, alipowasili katika Ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam,...
View ArticleThe Nestlé Creating Shared Value Prize – final call for nominations
Submit your application before 28 February 2015 and win up to CHF 500’000! Creating Shared Value Prize – final call for nominations Submit your application before 28 February 2015 and win up to CHF...
View ArticleAsia Idarous azungumza na wanahabari kuhusiana na Lady in Red 2015
Asia Idarous Khamsin Fabak Fashions ikishirikiana na Fashion news Tanzania inawaletea Lady in Red 2015, katika ukumbi wa Mog Bar ( Nyumbani Lounge) siku ya Ijumaa Tarehe 13 february 2015 usiku wa...
View ArticleWapangaji jengo la Treni Mji Mkongwe watakiwa kuhama jengo hilo
Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar Serikali haitoridhia kuwabakisha Wapangaji na Wafanyabiashara katika jengo la Treni ili kuepusha maafa na kuokoa maisha ya...
View Article