Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Rais Kikwete ahudhuria mazishi ya Mama mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, Dar Es Salaam

$
0
0

0L7C3535

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King’ongo jijini Dar es salaam.

0L7C3614

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika na waomboilezaji wengine  katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King’ongo jijini Dar es salaam.

0L7C3633

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka udongo kwenye kaburi la  Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King’ongo jijini Dar es salaam.

0L7C3683

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada kwenye kaburi la  Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani,  wakati wa mazishi Ijumaa February 6, 2015 huko Kimara King’ongo jijini Dar es salaam.(Picha na IKULU).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Latest Images

Trending Articles



Latest Images