Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt atembelea Dawati la Jinsia na...
FINAL_Press Release German First Lady Visit_03022015.docx by moblog Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt akisalimiana na maofisa wa Jeshi la Polisi wakati alipotembelea Dawati la Jinsia na...
View ArticleTIC yakutana na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini Ujerumani
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Juliet Kairuki (wa pili kushoto) akizungumza katika mkutano maalum kati ya Uongozi wa TIC na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini...
View ArticleOlolosokwan wapigwa msasa kukitumia vyema kijiji cha dijitali
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin Yusuph akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa...
View ArticleTatizo la saratani ‘lipo ndani ya uwezo wetu’
Tarehe 4 ya mwezi wa pili, inatukumbusha kwamba tunapaswa kupambana na ugonjwa wa saratani, ambao ni tatizo kubwa sana duniani kwa sasa. Mwaka huu, siku hii maalum imepangwa kufikia matokeo chanya juu...
View ArticleBenki ya I&M yazindua huduma ya kwanza ya mfumo wa Kielektroniki ya masaa 24...
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha (kushoto) akiongea na wadau wa benki hiyo hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa tawi na mfumo mpya wa kielektroniki uliovumbuliwa na Smart Banking...
View ArticleMultichoice yazindua king’amuzi kipya cha DStv HD
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi (Katikati) akifafanua jambo kwenye mkutano na wanahabari (hawapo pichani), wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa king’amuziki kipya cha DStv...
View ArticleEstablish an inclusive multi-stakeholder Education
Mr. Bertin Mushi, Marketing Manager, Promasidor Tanzania Ltd and Ms. Fatma Fernandes from Abel & Fernandes Company Ltd exchanging ideas with primary school children at the Launch of Hatua...
View ArticlePINDA azungumza na viongozi wa dini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha viongozi wa dini cha mashauriano kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 3,...
View ArticleRais Kikwete akutana na Waziri wa mambo ya nje wa Iran
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki na kisha kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran, Mheshimiwa Javad Zarif na ujumbe...
View ArticleGeoPoll and Control Union Use Mobile Surveys to Engage with Agricultural...
The partnership will initially focus on countries in Africa including Ghana, Kenya, Nigeria, Ethiopia, Tanzania, and Uganda GeoPoll (http://www.geopoll.com), the world’s largest real-time mobile...
View ArticleTanzania Early Childhood Development Network (TECDEN) Your partner in child...
Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN) is a network that is formed by various Organizations which are working to improve children livelihood in Tanzania. This Network was established in...
View ArticleTanzania mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa Wahasibu
Mahasibu Mkuu wa Serikali Mwanaidi Mtanda akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) jana jijini Dar es salaam kuhusiana na mkutano mkutano wa 22 wa kimataifa wa Chama cha Wahasibu Wakuu wa...
View ArticleZanzibar mbioni kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Pili kutoka Kulia akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya Tanzania ukiongozwa na Bwana Ezekiel Olouchi aliyepo kati kati yao....
View ArticleSimba wa Afrika apiga mweleka
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika hivi karibuni huko Addis Ababa nchini Ethiopia, Rais wa Zimbabwe Komredi Robert Gabriel Mugabe (Simba wa Afrika) alirejea nchini kwake...
View ArticleIbada maalum ya mazishi ya Baba mpendwa wa Mamertha na Henry Kente yafanyika
Picha ya baba mzazi wa Mamertha na Henry Kente Mr. Wilbard W. Kente enzi ya uhai wake Mamertha na Deo wakifuatilia ibada ya mazishi ya Mr. Wilbard Kente baba mzazi wa Mamertha na Henry aliyefariki...
View ArticleWakulima 7 wakabidhiwa Matrekta leo
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi funguo za trekta kwa Mwalimu wa Shule ya msingi Kwadelo Bw. Hamza Haji, matrekta saba yalikabidhiwa leo kwa wakulima chini ya...
View ArticleMatukio ya picha kutoka Bungeni leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Februari, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere...
View ArticleMuswada wa Sheria ya Habari sasa April mwaka huu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Saidi Mtanda akiwasilisha taarifa ya kamati. Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma SERIKALI inatarajia kuwasilisha Muswada wa Sheria ya Habari katika...
View ArticleSerikali yajidhatiti kudhibiti ujangili na biashara haramu Nchini
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa akijibu swali bungeni.(Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma). Na Lorietha Laurence-Maelezo, Dodoma SERIKALI imejidhatiti katika kudhibiti...
View ArticleShy Rose Bhanji ajitolea kuchonga barabara ya Mbweni – Malindi
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akiwa na Mwenyuekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa...
View Article