Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Februari, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaimaa John Kwegyir, kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na wananchi kutoka wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe walitembelea Bunge mjini Dodoma kwa mwaliko wa Mbunge wao wa jimbo la Njombe Magharibi, Gerson Lwenge ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wananchi kutoka wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe waliotembelea Bunge mjini Dodoma kwa mwaliko wa Mbunge wao wa jimbo la Njombe Magharibi, Gerson Lwenge ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ujenzi Februari 5, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).