Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha viongozi wa dini cha mashauriano kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 3, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha mashauriano cha viongozi wa dini kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifafa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 3, 2015. Kulia ni ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam ,Alhad Salum Musa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Asha Rose Migiro katika mkutano wa mashauriano wa viongozi wa dini uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere mjini Dar es salaam.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini wa mashauriano uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es slaam Februari 3, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini baada ya kuzungumza katika mkutano wao wa mashauriano uliofanyika kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 3, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)