Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA, MANGULA na KINANA wawasili songea kushiriki maadhimisho ya miaka 38 ya...

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akilakiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea, jioni ya leo tayari kushiriki maadhimisho ya miaka 38 ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

How a Woman’s Brain Work during an Argument

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo kuwekeza dola million 30 kanda ya kaskazini mwaka 2015

Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania Cecile Tiano (kulia) akiongea na waandishi wa habari Mkoani Arusha (hawapo pichani), wakati wa kutangaza kuongeza kwa uwekezaji wa dola za kimarekani milioni 30 kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FUNNY: From CEO to Employees!

Dear Staff, Please be advised that these are NEW rules and regulations implemented to raise the efficiency of our firm. TRANSPORTATION: It is advised that you come to work driving a car according to...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chipukizi wa UVCCM wa Songea watia fora katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM...

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisimama kikakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kwenye kilele cha sherehe za miaka 38 ya CCM katika uwanja wa Majimaji mjini Songea ziliziopambwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Ujerumani kuwasili leo usiku , maandalizi ya mapokezi yake yakamilika

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Said Meck Sadiki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Na Aron Msigwa –MAELEZO Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Said Meck...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete amteua Dkt. Hamisi Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Hamisi Hassan Mwinyimvua kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, anayesimamia Menejimenti ya Fedha za Umma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

African IPO market realises strong numbers in 2014: PwC Report

*2015 is expected to be a positive year for Equity Capital Markets activity in Africa *US$11bn IPO and FO proceeds raised in 2014 in African equity markets *US$37.4bn proceeds raised from 2010 to 2014...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viongozi wa Afrika wamuenzi Mwalimu Nyerere

*Jengo muhimu la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika lapewa jina lake *Hoja ya Mzee Mugabe yapokelewa kwa vifijo na nderemo Umoja wa Nchi Huru za Afrika (AU) umetoa heshima pekee kwa Baba wa Taifa, Mwalimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aviation Africa 2015: High Level Speakers Confirmed for new Aviation Africa...

Dubai has more international routes to Africa than Africa carriers themselves Aviation Africa 2015 (http://www.aviationafrica.aero) – organised by Arabian Aerospace and African Aerospace magazines is...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Dkt. Bilal aongoza maadhimisho miaka 38 ya CCM Dar

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam alipowasili Viwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Campaign to Road Safety

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Ujerumani Joachim Gauck awasili nchini

Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck  akiwa ameambatana na mkewe Bibi Schadt akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam. Makamu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jerry Silaa awataka wakazi wa Lindi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika...

Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Jerry Silaa. Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Nchimbi asema CCM haina tatizo la kimuundo wala mfumo

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Tabora yawatunuku vyeti makada wake waliokisaidia chama hicho kupata...

Katibu wa CCM mkoa wa Tabora Bi.Jannat Kayanda akimkabidhi cheti mmoja kati ya makada wa chama hicho Bw.Emmanuel Mwakasaka waliokisaidia kupata ushindi wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa,vijiji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Daniela Schadt aipongeza WAMA kwa kazi wanayoifanya ya kuwasomesha...

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Na Anna Nkinda – Maelezo Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imepongezwa kwa kazi inayoifanya ya kuhakikisha  watoto wa kike ambao ni yatima na wanaoishi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Lukuvi atangaza mapambano dhidi ya wanaodhulumu ardhi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, akijibu hoja za kamati na wabunge mjini Dodoma. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akijibu hoja Bungeni kuhusu wizara yake....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete amkaribisha Rais wa Ujerumani Joachim Gauck, Ikulu Jijini Dar Leo

Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Ikulu Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck ambaye ameongozana na mke wake Bibi Schadt leo. Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimtambusha Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Ujerumani kuzuru Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitembelea Bandari ya Malindi kuangalia matayarisho ya ujio wa  Rais wa shirikisho la Ujerumani Bwana Joachik Gauck.. Kushoto kwa Balozi Seif...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live