Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Dkt. Bilal aongoza maadhimisho miaka 38 ya CCM Dar

$
0
0

IMG_0650

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam alipowasili Viwanja vya Tawi la CCM kwa Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam jana Februari 02,2015 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM.

IMG_0683

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea CD yenye mashairi  maalum ya kukipongeza chama cha Mapinduzi CCM kwa kutimiza miaka 38 tangu kuanzishwa kwake kutoka kwa msanii Ahmad Amour Nyangany, kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyofanyika  Februari 01,2015  kwenye uwanja wa Tawi la CCM kwa Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam.

IMG_0714

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Ramadhan Madabida akimkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kuzungumza na Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyoadhimishwa Februari 01,2015  kwenye uwanja wa Tawi la CCM kwa Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam.

IMG_0725

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyoadhimishwa Februari 01,2015  kwenye uwanja wa Tawi la CCM kwa Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam.

IMG_0703

Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akiwahutubia kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyoadhimishwa Februari 01,2015  kwenye uwanja wa Tawi la CCM kwa Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam. (Picha na OMR)

 

Wananchi na Wanachama wa CCM Mkoa wa Dar es salaam wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akiwahutubia kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yajiyoadhimishwa  jana Februar 01,2015  kwenye uwanja wa Tawi la CCM kwa Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam. (Picha na OMR)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles