DAWASCO yatangaza kukosekana huduma ya maji kwa siku mbili jijini Dar
Dawasco inawatangazia wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kuwa mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa saa 48 kwa siku za Ijumaa na Jumamosi ya tarehe 23 na...
View ArticleMarekani na Ujerumani waipa Tanzania vifaa vya kisasa kukabiliana na ujangili...
Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri...
View ArticleGraca Machel, Waziri Kairuki walia na ndoa za utotoni
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (kushoto) akiongea na Mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini na mwanaharakai wa haki za wanawake na watoto Bi. Graca Machel (katikati)...
View ArticleWananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo...
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo. Hussein Makame,...
View ArticleKamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria...
View ArticleBalozi wa Vietnam amtembelea Waziri Migiro oJijini Dar leo
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akiongea na Balozi wa Vietnam nchini Bw. Vothanh Nam wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Januari...
View ArticleNIT kujenga vituo vya ukaguzi nchi nzima
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene akiwa kwenye mtambo maalum ‘Driving Simulator’ wa kufundishia madereva wa chuo cha Usafirishaji NIT (aliyekaa ), kushoto kwake anayetoa maelezo ni...
View ArticleWaziri Saada Mkuya afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo na Mtaa wa Namanga
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiongoza na viongozi wa mkoa wa kodi wa Ilala kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na maafisa wa Serikali alipofanya ziara ya kushtukiza...
View ArticleBalozi Seif Idd ashiriki harambee chuo cha CBE, afanikisha kukusanya shilingi...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akikabidhi mchango wake wa shilingi milioni 3 kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Mathew Luhanga...
View ArticleUtiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama...
MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) ulitiwa saini usiku wa jana, Jumatano, Januari 21, 2015, katika sherehe...
View ArticleMpango wa BRN Sekta ya Elimu Unamapungufu – HakiElimu
Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika...
View ArticleAED7.5million (US$2m) Investment as ‘Gold division’ state-of-the-art retail...
-This significant US $2m recognises Dubai as a key hub for its ‘Gold’ business into the Middle East and Africa Minelab (http://www.minelab.com) has officially opened the Minelab MEA General Trading...
View ArticleDC Songea ahimiza wazazi kuchangia chakula kukuza elimu
Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti. Na demasho.com Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma imefanya tathimini ya elimu ya na matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2014...
View ArticleINDABA 2015, a platform to optimise African tourism business growth
South African Tourism CEO, Mr Thulani Nzima. South African Tourism CEO, Mr Thulani Nzima: “Every single INDABA element must give exhibitors an unrivalled and effective platform to showcase their...
View ArticleHeineken adds emphasis on training excellence
The Heineken team at the headquarters in Nairobi geared up for the immersion training led by the General Manager Mr.Uche Unigwe (holding Heineken bottle at the back row). East African commercial team...
View ArticleAmerican and German Governments Partner with Tanzanian Government and...
German Ambassador Egon Kochanke (second from left), Minister of Natural Resources & Tourism Lazaro Nyalandu (center), and U.S. Ambassador Mark Childress (right) talk with Tanzanian game scouts...
View ArticleObi kuwekeza kwenye soko la smartphone zenye gharama nafuu Tanzania
Mkurugenzi Mtendaji wa Obi Mobiles, Afrika Mashariki na Kati na Afrika, Amit Rupchandani (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari )hawapo pichani) jijini Dar leo wakati wa...
View ArticleMtwara yapiga hatua upatikanaji wa maji safi na salama
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu akiwakaribisha wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyowasili mkoani humo kukagua miradi ya maji. Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya...
View ArticleWajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa watakiwa kujenga utamaduni wa...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) akitoa nasaha kwa wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakati akizindua Balaza la 13 la Michezo leo jijini Dar es...
View Article