Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Balozi wa Vietnam amtembelea Waziri Migiro oJijini Dar leo

$
0
0

MIGIRO - VIETNAM 1

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akiongea na Balozi wa Vietnam nchini Bw. Vothanh Nam wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Januari 22, 2015).

MIGIRO - VIETNAM 2

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro na Balozi wa Vietnam nchini Bw. Vothanh Nam wakiwa ofisini kwa Waziri jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Januari 22, 2015). Balozi Nam alimtembelea Waziri Migiro ili kubadilishana mawazo.

MIGIRO - VIETNAM 3

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro (katikati) na Balozi wa Vietnam nchini Bw. Vothanh Nam (kushoto) wakiwa ofisini kwa Waziri jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Januari 22, 2015). Kulia ni Ofisa Balozi wa Vietnam Bw. Mai Anh Thai ambaye aliongozana na Balozi Nam aliyemtembelea Waziri Migiro ili kubadilishana mawazo.(Picha na Said Benjamin).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles