Youth campaigners meet Vice President Dr. Mohamed Bilal in Dar-es-Salaam
Dr Sipho Moyo, ONE Afrika Executive Director giving opening remarks at action/2015 launch. According to new research, almost a billion extra people face a life of extreme poverty if leaders do not...
View ArticleDiego Gutierrez kuondoka Tigo Tanzania na kupandishwa cheo Millicom
Meneja Mkuu wa Tigo, Deigo Gutierrez (kulia), anayeachia nafasi yake baada ya kuitumikia kampuni kwa miaka mitano, akiwa katika picha na mrithi wake Bi. Cecile Tiano ambaye atakuwa Kaimu Meneja...
View ArticleKampuni ya kielectroniki ya SAMSUNG yamtangaza Vanessa Mdee kama balozi wa...
Kampuni ya kielektroniki ya Samsung kwa mara ya kwanza imehusisha kampuni hiyo na msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania. Leo hii, Kampuni namba moja duniani inayoongoza kwa technolojia ya hali ya...
View ArticleVijana watakiwa kujituma na kufanya kazi kwa kwa maendeleo yao
Ndugu Elly David akitoa mada kuhusu vijana kujituma na kufanya kazi kwa bidii kwa maendeleo ya taifa.Mtoa Mada huyo amesema kutokana na Ukosefu wa ajira hususani kwa vijana ni vyeme vijana kujituma na...
View ArticleHistoria ya Tanzania na nchi za GCC yawa chachu ya uwekezaji nchini
Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akizungumza wakati akifunga mkutano wa siku mbili wa wafanyabishara kutoka Tanzania na nchi za GCC ambao ulioanza Januari 15 hadi 16 mwaka huu jana jijini Dar es...
View ArticleRais kikwete aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha kwanza kwa mwaka huu wa...
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri chakwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam jana January 16, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...
View ArticleNewcastle University Scholarships for International Undergraduate Students │...
Women in Leadership Executive MBA Scholarship Hull University Business School is pleased to offer a full scholarship to cover the tuition fees of a prospective female student applying for the Hull...
View ArticlePinda amtembelea mbunge Vita Kawawa anayepatiwa matibabu hospitali ya AMI...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa matibabu. Kushoto ni mke wa mbunge huyo, Siwa Kawawa....
View ArticleSiku ya Posta Barani Afrika kuadhimishwa leo Januari 18, 2015
*Wafanyakazi watoa misaada kwa wazee wa Nunge, Kigamboni *Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kawawa watembelea Ofisi za Posta Kuu (Mpya), Dar es Salaam Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kawawa, Luhanga Mabibo,...
View ArticleKINANA aahidi CCM kushinda kwa kishindo uchaguzi mkuu Zanzibar 2015
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo cha Sayansi ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja...
View ArticleWanakijiji wa Muembe Majogoo kuondokewa na tatizo la maji safi na salama
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akiwapongeza Wananchi wa Kijiji cha Muembe Majogoo kwa ustahamilivu wao wa kukosa huduma za maji safi ambayo haiko mbali kupatikana muda mfupi...
View ArticleWananchi Mkuranga waaswa kuchangia damu
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emanuel Mjema (kulia) akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Mkuranga Dkt. Anwar Milulu (kushoto) msaada wa mashuka yenye 90 yaliyotolewa...
View ArticleVijana waendelea kupata ajira katika Utumishi wa Umma
Katibu Msaidizi Idara ya Ajira kutoka Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Malimi Muya akiwaeleza waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam (hawapo pichani) sababu...
View ArticleSecurity in Africa: Structural challenges are reaching crisis point
*The latest report from Think Security Africa is the organisation’s fifth annual review on security in Africa The latest report from Think Security Africa (http://www.thinksecurityafrica.org) is the...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal, ahudhuria sherehe za kusimikwa Askofu Mkuu jimbo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Sherehe ya kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya iliyofanyika jana Januari...
View ArticleBaraza la watumiaji huduma Sumatra lashiriki kikamilifu maonesho ya miaka 40...
Afisa wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri akitoa maeklezo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Monica...
View ArticleTupo kwaajili ya kutoa huduma bora za ujenzi DMV
Kazi yetu ni kutoa huduma bora za ujenzi katika maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia, kwa huduma za ukarabati wa nyumba yako, kitaalamu na kwa ufanisi zaidi. Tunaweza kushughulikia mahitaji...
View ArticleNAPE: CCM haitaruhusu wanunua urais kupenya uchaguzi mkuu wa mwaka huu
MTUME na Nabii wa Kanisa la EFATHA Josephat Mwingira akimlaki kwa furaha, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipowasili katika ukumbini, kutoa mada kuhusu nafasi ya CCM na uhusiano wa CCM...
View ArticleHellofood Tanzania celebrates first anniversary by signing a new partnership...
Restaurant of fashion designer Khadija Mwanamboka joins collaboration with the online food delivery service Founded by Africa Internet Group (AIG), the leading online food delivery service hellofood,...
View ArticleUchaguzi mdogo wa Rais nchini Zambia kufanyika leo
Leo wananchi wa Zambia wanafanya Uchaguzi mdogo kumchagua Rais wa sita tangu wa nchi hiyo ipate uhuru mwaka 1964. Uchaguzi huu unafanyika kufuatia kifo cha Rais Michael Chilufya Sata, kilichotokea...
View Article