Kampuni ya Tigo yatoa zawadi za siku ya Mapinduzi kwa wateja wake Zanzibar
Mwakilishi wa jimbo la Wamtipura Zanzibar, Mh.Hamza Hassan Juma (kushoto) akipokea zawadi ya Tigo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Bw. John Wanyancha wakati wa maadhimisho ya sherehe...
View ArticlePresident Kikwete meets Millicom International Cellular Executive Vice...
President Jakaya Mrisho Kikwete shakes hands with the Millicom International Cellular South Africa Executive Vice President for Africa, Mr Arthur Bastings, who and his delegation paid a courtesy call...
View ArticleBilal mgeni rasmi majadiliano ya Vijana Malengo ya Milenia baada ya 2015
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Mohamed Gharib Bilal. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Mohamed Gharib Bilal ataungana na taasisi ya ONE pamoja na Restless Development katika majadiliano na vijana walio...
View ArticleVIDEO: Maazimio ya Kamati Kuu ya CCM
Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Wanahabari mapema leo akifafanua kuhusiana na ripoti na maazimio ya kikao cha kamati kuu cha CCM kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi...
View ArticleRais Kikwete na Mkewe wamjulia hali mbunge wa Namtumbo Mhe Vita Kawawa...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati...
View ArticleBalozi wa Algeria aliyemaliza muda wake awatakia Watanzania mwaka wa utulivu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga...
View ArticleTanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa wafanyabiashara kutoka Tanzania na nchi...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh akieleza umuhimu wa mkutano wa kimataifa wa wafanyabiashara kutoka Tanzania na nchi za Ghuba (GCC) utakafanyika kwa siku mbili...
View ArticleTANGO kuwa na mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja leo kujadili malengo ya SDGS
Meneja wa sera na ushirikishaji wa TANGO, Zaa Twalangeti, akizungumza na Modewjiblog kwenye mahojiano maalum yaliyofanyika katika ofisi za TANGO jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mratibu wa kitaifa wa...
View ArticleMmiliki wa kiwanda cha viatu (WOISO) aelezea mafanikio yake kupitia shuguli...
Mmiliki wa Kiwanda cha Viatu WOISO kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam ,Bw Kenneth Herman (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea mafanikio yake alioyapata kupitia shuguli za...
View ArticleRais Mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae atembelea Taasisi ya Uongozi
Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae (kushoto) akipokelewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute Profesa Joseph Semboja pale kiongozi huyo mstaafu alipotembelea ofisi hiyo iliyo chini ya...
View ArticleLeading African and global mining executives and investors announced for the...
The annual Investing in African Mining Indaba is the world’s preferred brand and destination in African mining The 2015 Investing in African Mining Indaba...
View ArticleTHT kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, tarehe 31/1/2015, Escape 1
Meneja Mkuu wa Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji, Tanzania House of Talent (THT), Mwita Mwaikenda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar leo. Kufungua kampuni ya ushonaji na ubunifu wa...
View ArticleBalozi Seif apasua jipu kuhusu maendeleo
Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Mabomba ya kusambazia maji safi Diwani ya Wadi ya Upenja Bibi Asha Abdulla Mussa kwa ya...
View ArticlePinda afungua mkuano wa tathimini ya programu ya BRN -Dar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa zamani wa Botswana, Festus Mogae baada ya kufungua kikao cha mapitio ya Programu ya Matokeo Makubwa sasa (BRN) kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar...
View ArticleMkutano wa maendeleo ya takwimu Afrika waendelea nchini Uganda
Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria akiwasilisha mada kuhusu...
View ArticleKupunguza umasikini kuendelea kuwa lengo kuu la milenia- UN
Ofisa Habari wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza na washiriki wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chukua Hatua Dhidi ya Umasikini 2015, iliyofanyika jijini Dar...
View ArticleTGNP Mtandao Yawanoa Watendaji wa Serikali Juu ya Ukatili
Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada katika semina kwa watendaji wa Serikali kuhusiana na changamoto za kesi za ukatili wa kijinsia. Baadhi ya watendaji wa Serikali...
View ArticleKINANA amaliza ziara yake mkoa wa mjini magharibi Zanzibar
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi dawa kwa mganga mkuu wa hospitali ya jimbo la Mpendae Dr. Omar Shaban Amran wakati alipokabidhi sehemu ya madawa kwa hospitali hiyo ambayo...
View ArticleRais Kikwete ahudhuria sherehe za kumuapisha Rais mpya wa Msumbiji
Rais Mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akila kiapo cha urais kuiongoza nchi ya Msumbiji jijini Maputo Msumbiji. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Mpya wa Msumbiji Filipe Jacinto...
View ArticlePinda akutana na viongozi wa benki ya BADEA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Benki ya Arab Bank for Economic Development in Africa (BADEA) baada ya kukutana nao kwenye Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 16,...
View Article