![PG4A8359]()
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa zamani wa Botswana, Festus Mogae baada ya kufungua kikao cha mapitio ya Programu ya Matokeo Makubwa sasa (BRN) kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Januari 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
![PG4A8355]()