Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

modewjiblog team wishes you a Happy New Year 2015

On this New Year I wish that you have a wonderful January, a lovely February, a Peaceful March, a stress-free April, a fun-filled May, and Joy that lasts from June to November, and finally a happy...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal alihutubia kwenye tamasha la mkesha wa kuliombea taifa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi alipowasili Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana usiku Disemba 31, 2014/2015 kwa ajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Salamu za mwaka mpya za Rais Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. HOTUBA YA MWAKA 2015 – FINAL.doc by moblog

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sheikh Sharif azua mapya ya urais 2015

Sheikh Shariff Matongo  akizungumza leo na waandishi wa habari ofisini kwake  jijini Dar es Salaam(hawapo pichani)kuhusu  ndoto yake ambayo ameoteshwa kuelekea mwaka 2015. NA CHALILA KIBUDA,GLOBU YA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanza Queens waichapa Mara Queens Goli 6 kwa 1 katika mechi ya uzinduzi wa...

Kikosi cha Timu ya Mara (jezi Nyekundu) wakisalimiana na Marefa wa mchezo huo tayari kwa Mtanange wa Women Taifa Cup kuzinduliwa leo jijini Mwanza kwa Kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara. Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete asheherekea mwaka mpya kijijini Msoga

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge  wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani. Rais Jakaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Home Tips That’ll Make Your Life Easier

We usually spend too much time just trying to streamline our lives, making daily living a bit easier, a bit quicker. There are thousands of ways to make your daily lives easier. Here are 22 solutions...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shughuli mbalimbali za Waziri Mkuu Pinda na mkewe Tunu wilayani Mlele

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika  picha ya pamoja na wanafunzi  wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015. (Picha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Panya road watikisa jiji la Dar

Kundi linalozaniwa ni la kihalifu maafuru kama “Panya Road” usiku wa leo wametoa hofu kubwa kwa wakazi wa Dar yakiwemo maeneo ya Tandale, Manzese, Magomeni, Mabibo na mengineyo. Kundi hilo limezua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa Morogoro mjini Mh Abood atoa milion 11 kutatua kero ya maji Mkundi...

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akizindua Tawi la CCM la Wajasiriamali Bodaboda na Mama lishe lililopo Mgulu wa Ndege Kata Ya Mkundi Manispaa ya Morogoro.Mara Baada ya Kuzindua Tawi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Seif Iddi awata kuhama wananchi wanaoishi kwenye nyumba kuu kuu za mji...

Makamu wa Pili wa Rais wa  Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia nyumba iliyoporomoka dari na kujeruhi wakazi wake watatu hapo Mtaa wa Ukutani Mjini Zanzibar. Kushoto kwa Balozi Seif ni Mmiliki wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fursa ya ajira kutoka SUMATRA

251503812-RE-ADVERT9-SUMATRA-EMPLOYMENT-OPPORTUNITY-DRTR-Final-29-12-2014-doc.doc by moblog

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Land Rover Free Lander linauzwa bei poa

2003 LAND ROVER FREE LANDER: T373 BAS Make: Land Rover Model: Freelander Year: 2003 Price: TZS 7,000,000/- Negotiable: Yes Kilometers: 78,540 Fuel: Petrol Colour: Blue Transmission: Automatic Four...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya

  Bwana George Mcheche Masaju, Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya.(Picha na IKULU). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Si kweli kwamba VIP Engineering and Marketing limited ya Bw. James Rugemalira...

Mmiliki kwa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing, James Rugemalira. Kuna uvumi unazagaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kuwa mmiliki wa VIP Enginering and Marketing Limited, “aliyekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ridhiwani Kikwete aanza ziara ya kikazi katika vijiji 40 Chalinze

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akikagua vyumba vya madarasa vya Shule ya Msingi Kibindu, wilayani Bagamoyo, Pwani vilivyobmoka na kuezuliwa paa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ridhiwani Kikwete kuharakisha maendeleo Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika Kijiji cha Changarikwa wakati wa ziara ya kikazi pamoja na kuwashukuru wananchi kwa kuchagua viongozi wa Seikali ya Kijiji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete akirejesha kiwanda cha Chai cha Mponde Lushoto kwa wananchi

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba wakati alipowasili jimboni humo katika wilaya ya Lushoto. akiwa katika ziara ya siku mbili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) pamoja na familia...

Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA wakishindana kukimbia  kwenye ufukwe wa bahari ya hindi kunduchi beach wakati wa siku ya family Day  iliyowahusisha wafanyakazi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SMZ yajivunia kuimarika kwa barabara

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi Bara bara ya pili ya Amani hadi Mtoni baada ya kukamilika awamu ya mwisho ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya kutimia miaka...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live