Waandaaji wa Tuzo za filamu nchini washauriwa kuzingatia viwango na ubora wa...
Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akiwa katika kikao cha majadiliano na kamati ya Maandalizi ya Nyumbani Kiswahili Film Awards yaliyofanyika hivi karibuni ofisini kwake...
View ArticleAli Kiba azindua Video yake mpya “MWANA” kua wa kwanza kuiona hapa
Akiwa ana nyimbo za “Mwana” na “Kimasomaso” zikiongoza katika vituo mbali mbali Africa, Alikiba aachia video ya “Mwana” iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu jana ,Ijumaa tarehe 19 Decemba 2014 kwa...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal azindua rasmi majengo ya taasisi ya mafunzo ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa...
View ArticlePinda akutana na kiongozi wa kampuni ya gesi ya Qatar na kutembelea eneo la...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Otty Msuku ambaye ni Mtanzania , Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa...
View ArticleBiashara 37,000 zaanzishwa kupitia mradi wa ujasirimali kwa vijana –ILO
Mratibu wa Mpango wa Ujasiriamali na Kukuza Ajira kwa Vijana ndani ya Shirika la kazi Duniani (ILO), Bw Mkuku Luis akitoa hotuba yake wakati akifungua mafunzo ya ujarimali kwa vijana yaliofanyika...
View ArticleMapinduzi ya kitekinolojia katika sekta ya afya
Katika muongo uliopita sekta ya afya imeshuhudia mabadiliko fulani ya ajabu katika maendeleo ya kiteknolojia na uvumbuzi ambao umeleta mchango mkubwa katika utoaji wa ushauri na matibabu kwa wagonjwa....
View ArticleMercedes -Benz CFAO Motors yakabidhi malori 15 kwa kampuni ya mizigo SIGNON
Meneja Mauzo wa Maroli ya Mercedes Benz (CFAO MOTORS), Bw Jerome Sentmea (kushoto), akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurungenzi wa Kampuni ya Usafirishaji mizigo (SIGNON), Bw Daniel Kiyan,malori...
View ArticleMbunge wa Morogoro mjini Aziz Abood aendelea kutekeleza ahadi zake katika...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood akiwasikiliza Viongozi wa CCM wa Kata ya Konga wakati wa Ofisi ya kata hiyo Mara baada ya Mh Mbunge Kufanya Ukaguzi hiyo na Kuahidi kutoa Msaada wa...
View ArticleTHE MBONI SHOW yaanza kuunguruma January 2 ndani ya TBC
Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa...
View ArticleRais Kikwete amemteua Dkt. Moses Kusiluka kuwa Kamishna Ardhi nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Moses Mpogole Kusiluka (42) kuwa Kamishna Ardhi nchini. Uteuzi huo ulianza Jumanne ya Desemba 23, mwaka huu,...
View ArticleMatukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai. Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na mabalozi wa Urusi, Canada na Algeria
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es...
View ArticleBalozi Seif Iddi awatoa hofu madaktari wa Cuba, Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Kiongozi wa Madaktari wa Cuba Profesa Ulpiano Nyumbani kwake Vuga Mjini Zanzibar baada ya kuvamiwa na majambazi jana usiku yeye na...
View ArticleRais Kikwete ahani msiba wa Sheikh Ali Mzee Komorian Kariakoo, Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki Jumamosi Desemba 28, 2014 na...
View ArticleMwanafunzi wa MUCE alamba Mil. 3 za BayPort
Mratibu wa Bima ya Elimu Bayport Tanzania, Ruth Bura (kulia) akimkabidhi hundi Bw. Kennedy Kaupenda kwa ajili ya kuendelea na masomo ya elimu ya juu baada ya kufariki mzazi wake. Mratibu wa Bima ya...
View ArticleTaarifa ya ufafanuzi Wizara ya Nishati na Madini
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb). Katika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo...
View ArticleClever Inventions By Indian High School Students
What is your most important achievement till date? These child prodigies have a set of patents to their names before they got past high school, meet the real future of India. 1.Oxygen, carbon dioxide...
View ArticleGreat Ideas by Government Across the World
Free Maternity Box To All New Mothers Whenever a Finnish woman is expecting a child, the state provides them with a free ‘maternity box.’ Equipped with a mattress, sheets, sleeping bag, jump suits,...
View ArticleBalozi Seif awatakia kheri ya mwaka mpya wazee hapa nchini
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Asili wa Ijumaa Micheweni Mjini Sheikh Haji Khatib Haji. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi...
View Article