RC Arusha awapongeza wadau kwa kufanikisha uchaguzi serikali za mitaa kwa amani
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda akiwa ofisini kwake jijini Arusha. Na Mahmoud Ahmad, Arusha MKUU Wa mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda (Kijiko), amewapongeza wananchi wa jimbo la Arusha,...
View ArticleBreaking News… Bunge Afrika Mashariki lamvua spika madaraka yake
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kabla ya kubwagwa leo Bi.Margaret Nantongo Zziwa. Na Mahmoud Ahmad Arusha BUNGE la nchi za jumuia ya Afrika Mashariki,lenye makao yake mjini Arusha,...
View ArticleNaibu Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO awasili jijini Arusha kushiriki mahafali...
Ofisa mwandamizi wa habari na mahusiano ya umma wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Bw. Karimu Meshack (kushoto) akijadiliana jambo ndani chumba cha mapumziko cha wageni mashuhuri...
View ArticleVijana wafurika banda la TBL maonesho ya ajira kwa vijana Dar
Vijana kutoka vyuo mbalimbali wakiwa katika semina ya jinsi ya kutafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali wakati wa Maonesho ya Ajira kwa Vijana, kwenye Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam...
View ArticleWilly Kitima ateuliwa kuwa msaidizi wa Rais-nyaraka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Willy Kitima kuwa Msaidizi wa Rais – Nyaraka (Documentation) kuanzia Alhamisi iliyopita, Desemba 11, 2014....
View ArticleMratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa akutana na RC Arusha
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyeteuliwa hivi karibuni,...
View ArticleSerikali yakubali azimio la Arusha kuhusu hifadhi ya jamii
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu hifadhi ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.(Picha zote na Eleuteri Mangi-...
View ArticleRais amteua Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dkt. James P. MATARAGIO kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Kulingana na,...
View ArticleFastjet yatoa punguzo la bei kwa wateja wanaokwenda kuhudhuria Lohana Sports...
Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Fastjet Bi. Jean Uku akiongea na Bw. Navin Kanabar (kushoto) na Bw. Manish Rughani (katikati) ambao ni wateja wa fastjet waliopata tiketi za punguzo la bei kwenda...
View ArticleHazina SACCOS yakadhi hati za viwanja ambavyo ni rasmi zaidi kwa 150 kwa...
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwasili viwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa siku mbili (Disemba...
View ArticleUjenzi wa mabweni shule za pembezoni kupunguza msongamano wa wanafunzi mijini
Katibu Tawala wa Mkoa, ambaye pia ni Katibu wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, akizungumza na viongozi wa Elimu wa mkoa na walimu wakuu wa Shule za Sekondari za mkoa wa...
View ArticleZiara ya Waziri Mkuu Pinda Qatar
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa...
View ArticleMkubwa na wanawe & High Class Look watoa msaada kituo cha watoto yatima...
Mkubwa Fella akikabidhi kiroba cha Sembe kwa Bi Hawa Mmiliki wa Kituo cha watoto yatima Hazina kilichopo Mbagala maji Matitu. Picha ya pamoja na watoto hao. Vijana wa Yamoto Band Wakitoa Burudani kwa...
View ArticleWatanzania washauriwa kuitumia neema ya gesi kupeleka hifadhi ya jamii kwa...
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,na Mwenyekiti wa mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha,...
View ArticleHatuwezi kuendelea kwa kutegemea mazingaombwe na ramli – Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba mara baada ya kutunukiwa Digrii ya Heshima ya Uzamivu (PhD Honoris Causa) katika mahafali hayo ya pili ya Taasisi hiyo...
View ArticleUNESCO yafadhili maendeleo ya sayansi Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye mahafali ya pili ya Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia yaliyofanyika jijini Arusha...
View ArticleKada CCM ajing’oa, kuwania ubunge kupitia Chadema
Mapokezi ya Fransico Kimasa Shejamabu (mwenye gwanda) akielekea katika viwanja vya shule ya msingi Pambalu wilayani Sengerema kuhutubia wananchi. (picha zote na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema). Na...
View ArticleDiscover Your Ancestors Origins From The Shape Of Your Feet
A study claims you can tell your heritage from the shape of your feet, so take a look and discover where your ancestors originally came from. Skeptical? Then here are some facts that can help support...
View ArticleJohnson Lukaza na Mwesigwa Lukaza washinda kesi dhidi ya EPA
Johnson Lukaza. Mwesigwa Lukaza JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI Na Happiness Katabazi (UB) HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti wa Makampuni...
View Article