Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Ziara ya Waziri Mkuu Pinda Qatar

$
0
0

PG4A4953

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali  akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A4958

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Qatar Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu wa Qatar iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014.

PG4A4966

PG4A4970

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiongozwa na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh  Abdullah Nasser Al Thani  kwenda  kwenye chumba  cha mikutano  baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo  iliyopo Doha  kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014.

PG4A4987

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar , Sheikh Abdullah  Nasser Al Thani kwenye Ofisi ya  Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha Desemba 21, 2014.

PG4A4925

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani (kulia) akizugumza na Waziri wa Mazingira wa Qatar, Ahmed bin Amir Al Humaidi , kwenye Hoteli ya Sheraton iliyopo Doha nchini Qatar. Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles