Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Rais Kikwete ahani msiba wa Sheikh Ali Mzee Komorian Kariakoo, Dar

$
0
0

ko1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa Jumapili Desemba 29, 2014.

ko2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo  Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa Jumapili Desemba 29, 2014.

ko3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa Jumapili Desemba 29, 2014.(PICHA NA IKULU).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles