Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Rais Kikwete asheherekea mwaka mpya kijijini Msoga

$
0
0

j10

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge  wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.

J11

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomba  dua  pamoja na Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi  wakati wa hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.

j1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa  Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi  kwa kumuandalia  hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.

j2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya wamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi mkuu wa jamii hiyo, Laiboni Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono katika hafla ya  kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.(PICHA NA IKULU).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles