Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Shughuli mbalimbali za Waziri Mkuu Pinda na mkewe Tunu wilayani Mlele

$
0
0

PG4A7542

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika  picha ya pamoja na wanafunzi  wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A7551

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda akiwa katika  picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.

PG4A7037

Mke wa Waziri Mkuu, Mama  Tunu Pinda  akionyesha DVD ya  Tuiombee Afrika  ya kwaya ya Makuhani ya Kanisa la EAGT la Makanyagio, Mpanda wakati alipozindua Album hiyo kwenye ukumbi wa Saint Mary’s mjini Mpanda Desemba 31, 2014.

PG4A6979

Wanakwaya wa kwaya ya Makuhani ya Kanisala la EAGT Makanyagio, Mpanda  wakiimba katika uzinduzi wa Album yao ya Tuiombee Afrika uliofanywa na mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu  Pinda kwenye ukumbi wa  Shule ya Saint Mary’s ya Mpanda Desemba 31, 2014.

PG4A6986

PG4A7005

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na  wanakwaya wa kwaya ya Makuhani  ya Makanyagio, Mpanda wakati alipozindua Album yao  ya Tuiombee Afrika kwenye  ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Saint Mary’s Desemba 31, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Latest Images

Trending Articles



Latest Images