Aviation Africa 2015 will take place in Dubai, UAE on 10-11 May 2015
The 2 day Summit will focus on strategies, opportunities and the challenges affecting the aviation industry in Africa Aviation Africa 2015 (http://www.aviationafrica.aero) is a 2-day Summit &...
View Article“Taarifa zinazotolewa na wanaojiita viongozi wa Machinga Complex zipuuzwe”-...
Halmasahuri ya Manispaa ya Ilala imesikitishwa sana na habari za upotoshwaji zilizofanywa na wanaojiita viongozi wa soko la Machinga complex zikimlenga Mstahiki Meya wa Halmashauri Mhe.Jerry Silaa....
View ArticleUkosefu wa huduma za afya za kisasa na uhakika zadaiwa kuwa sababu kubwa ya...
. Ukosefu wa huduma za afya za uhakika na za kisasa zinadaiwa kuwa sababu kubwa ya watanzania wengi kufuata huduma hizo nchi za nje. Hospitali ya Apollo ilikuwa moja ya hospitali za mwanzo kabisa...
View ArticleRais Kikwete kuhutubia wananchi kupitia mkutano utakaorushwa Live na TBC saa...
TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA LEO ALHAMISI TAREHE 4 SEPTEMBA, 2014 SAA KUMI JIONI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE ATAZUNGUMZA NA WANANCHI KUPITIA MKUTANO WAKE NA...
View ArticleMwelekeo wa Mvua kwa kipindi cha Oktoba – Disemba 2014
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Agnes Kijazi. Ond2014 Swahili Final by moblog
View ArticleWatatu wafariki dunia katika matukio tofauti mkoani Singida
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela. Na Nathaniel Limu, Singida WATU watatu mkoani Singida, wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la mkulima moja kupigwa...
View ArticleSerikali yaanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba 10,000 kwa ajili ya...
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Meja Josephat Musira akiwaeleza Waandishi wa habari (Hawapo pichani)kuhusu Mradi wa ujenzi wa Nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya Wanajeshi...
View ArticleMtoto wa Baba wa Taifa na Vitalis Maembe kupanda Mlima Kilimanjaro kuchangia...
Afisa Habari wa shirika lisilo la kiserikali la Culture and Development East Africa (CDEA), Mandolin Kahindi akitambulisha viongozi wa CDEA kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) pamoja na dhumuni...
View ArticleHow to make a living and how to live?
In 1923, nine of the wealthiest people in the world met at Chicago’s Edge Water Beach Hotel . Their combined wealth, it is estimated, exceeded the wealth of the government of the United States at that...
View ArticleNissan Terrano inauzwa
Gari aina ya Nissan Terrano, Diesel cc 2600, ipo sokoni, inauzwa! Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na Busiga 0764 269 188 au 0767 44 55 90
View ArticleKamati zapendekeza – Spika na Naibu wake kuendelea kuwa Wabunge, pia Ibara ya...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongeza Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Na Benedict Liwenga na Magreth Kinabo, Maelezo-Dodoma. KAMATI za Bunge Maalum la Katiba...
View ArticleHotuba ya Rais Kikwete kwa wananchi akikamilisha ziara mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Majumuisho Dodoma Na Hotuba Ya Mwisho Wa Mwezi Agosti, 2014 Dodoma – Final by moblog
View ArticleThe AU Commission of Inquiry on South Sudan receives briefing from the High...
Presidents Obasanjo and Mbeki recognized that the solution to the current crisis was within the reach of the peoples of South Sudan The African Union Commission of Inquiry on South Sudan (AUCISS)...
View ArticleMbunge wa jimbo la Morogoro Mjini afunga kambi ya UVCCM
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood Akimkabidhi cheti Kada UVCCM Wilaya ya Morogoro mjini CCM,Wakati wa kufunga kambi ya UVCCM kutoka kata za Manispaa ya Morogoro eneo la Morning...
View ArticleKampuni ya Corona(T)Ltd ni kinara wa kujaza mafuta kupitia huduma ya M-Pesa...
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim (kushoto)akiongea jambo kwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Corona (T) Ltd baada ya kampuni hiyo kuibuka kinara wa utumiaji wa huduma ya M-pesa...
View ArticleMatokeo ya kidato cha sita 2014 Iwawa Sekondari, Mkuu wa wilaya ya Makete...
Na Edwin Moshi, Makete Walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari Iwawa iliyopo Makete mkoani Njombe wametakiwa kutoridhika na kubweteka na shule hiyo kushika nafasi ya nne kitaifa katika matokeo ya...
View ArticleSerikali yatumia zaidi ya Bilioni 16 kujenga Taasisi ya mafunzo ya uanasheria...
Afisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School) Bi. Scholastica Njozi akiwaeleza jambo waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa ziara...
View ArticleBe glad of Life , because it gives you the chance to love…
The Words that Will Build You Up! Words can be like bricks. If thrown at you in anger, they can hurt and injure you. But if they are used wisely, with compassion and understanding, they can be arranged...
View ArticleWashiriki wa Dance 100% waendelea kujifua kwa nusu fainali chini ya Vodacom
Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na nusu...
View ArticleWanahabari washinda uonjaji bia za TBL Mwanza
Umakini katika kutambua rangi akiuhusisha huyu ni mshindi wa kwanza wa shindano la Beer Tasting Competition kwa wanahabari (Muonjaji Bora wa Bia) Aidan Mhando wa Mwananchi Communications akizibainisha...
View Article