TUNAPENDA KUWAJULISHENI KUWA LEO ALHAMISI TAREHE 4 SEPTEMBA, 2014 SAA KUMI JIONI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE ATAZUNGUMZA NA WANANCHI KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA, UTAKAOFANYIKA CHUO CHA MIPANGO – DODOMA.
MKUTANO HUO UTATANGAZWA MOJA KWA MOJA (LIVE) KUPITIA KITUO CHA TELEVISHENI CHA TAIFA TBC.
ASANTENI
IMETOLEWA NA;
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS,
IKULU – DAR ES SALAAM.
4 SEPTEMBA,2014
