Mtemvu: CCM itaupukutisha upinzani Temeke uchaguzi wa mitaa, siyo kwa nguvu...
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya Sokoine, Temeke jijini Dar es Salaam, jana, Agosti 30, 2014. Na Bashir Nkoromo Mbunge wa Temeke,...
View ArticleRais Kikwete akutana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ikulu...
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo akiongea na Makamu Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. ABdulrahman Kinana na Mhe Isack Cheyo walipowasili...
View ArticleAlex Msama atangaza vita na wezi wa kazi za wasanii, asema watasakwa popote...
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam Bw. Alex Msama akimwaga furushi lililojaa CD na DVD feki za kazi mbaimbali za wasanii zinazorudufiwa kwa wizi na watu wasiokuwa...
View ArticlePongezi kwa JWTZ kwa kutimiza miaka 50 tokea kuanzishwa
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa kwenye maonyesho Katika Uwanja wa Taifa.Picha na Maktaba. Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa mazoezini. Na Josephat Lukaza –...
View ArticleTume ya Utumishi wa Umma yaendelea kuimarisha uzingatiaji wa sheria, kanuni...
Naibu Katibu wa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Neema Tawale akieleza kwa waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu tathmini ya Tume juu ya uzingatiaji wa sheria,kanuni na taratibu za...
View ArticleSoka Festival Massachusetts chini ya uongozi wa jumuiya ya watanzania New...
Watanzania wa Massachusetts wakijumuika pamoja kwenye Soka Festival inayofanyika kila mwaka wakati wa majira ya joto. Mkuu wa Wilaya ya Springfield Alhaji Isaac Kibodya katika picha ya pamoja na...
View ArticleTigo Pesa yawa ya kwanza duniani kugawa faida kwa wateja
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo kuhusu kutoa gawio la kiasi cha shilingi bilioni 14.25 lililolimbikizwa kwenye akaunti ya mfuko wa...
View ArticleMjadala ulioongozwa na Mjengwa; Cleopa Msuya na dhana ya maadili ya kiongozi...
Waziri mkuu Mstaafu Cleopa Msuya. Kusikiliza mjadala huo ulioongozwa na Maggid Mjengwa kupitia kipindi cha “Soko la habari la Kariakoo” unaweza kubofya hapa
View ArticleWatanzania washauriwa kuwekeza kwa kuwajali watoto
Mkuu wa Kitengo cha Usuluishi na Ushauri wa Sheria (katikati) akisisitiza jambo kwa wanahabari alipokuwa akitoa tamko kwa vyombo vya habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Valerie...
View ArticleRais Kikwete afungua rasmi nyumba za makazi za Medeli leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wenye nyumba 150, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando...
View ArticleMisingi ya usawa wa jinsia ikilindwa katika Katiba Mpya, tutapata Katiba...
Baadhi ya Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba wakiimba kwa furaha wakati wa semina iliyofanyika 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma. Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM....
View ArticleTanzania kuongoza nchi za Afrika ktika maboresho ya utoaji wa haki za...
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Kisheria kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Nabor Assey akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu utekelezaji wa Miongozo ya Luanda...
View ArticleUmoja wa Azaki za Vijana wakutana na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na Umoja Azaki za Vijana wakati alipofanya mkutano nao wakati wakiwasilisha mapendekezo ya maboresho ikiwa ni msisitizo katika masuala...
View ArticleMkongo wa Taifa wasaidia kushuka kwa gharama za mawasiliano nchini
Msemaji wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bi. Prisca Ulomi akiongea na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya mkongo wa Taifa ikiwamo kusaidia kushuka kwa gharama za...
View ArticleMicrosoft Windows Phone 8.1 yatambulishwa Tanzania kupitia Lumia 930, Lumia...
KAMPUNI ya Microsoft leo imetambulisha aina tatu ya Lumia ambazo ni Lumia 530, Lumia 630 pamoja na Lumia 930 huku zikiwa zimeunganishwa kabisa na mfumo mpya na wa kisasa wa kiteknolojia wa uendeshaji...
View ArticleNHIF kuendelea kuboresha huduma za afya nchini
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael Mwamoto akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini,...
View ArticleMhe. Sitta apewa pongezi kwa kuliendesha Bunge Maalum la Katiba kwa utulivu...
Sheikh Hemed Jalala akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (hayupo pichani) wakati alipotembelea Bunge Maalum leo 03 Septemba, 2014 kwa ajili ya kumpongeza kwa kazi kubwa na nzuri...
View ArticleShirika la Nyumba Tanzania (NHC) lakarabati Shule ya Hassanga Jijini Mbeya
Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akikata utepe kuzindua ukarabati wa Madarasa manne na Jengo moja la Utawala katika Shule ya Msingi Hasanga uliofanyika leo Uyole Mbeya. Mgeni Rasmi...
View ArticleRais Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani, jijini Nairobi leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete...
View ArticleWajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la...
Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma. Na Benedict Liwenga,...
View Article