Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta avitaka Vyombo vya...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa Katiba. Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma....
View Article4th Anniversary of Vijimambo Blog, Promoting Tanzania Tourism EXPO in the USA
Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea...
View ArticleMatukio katika picha leo Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara (kulia) ambaye pia ni mmoja wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzie leo 28 Agosti, 2014...
View Articleflydubai reaches milestone 80 destinations with addition of three new routes...
With the launch of flights to Burundi, Uganda and Rwanda, flydubai will fly to nine destinations in Africa Dubai-based flydubai (http://www.flydubai.com) today announced the addition of three new East...
View ArticleViongozi, wanaharakati wataka Katiba Mpya imtambue mtoto na haki zake
Mwenyekiti wa Mtandao wa Mashirika yanayofanya kazi na Watoto Tanzania ambaye pia ni Mratibu Miradi, Kituo cha Watoto wa Mtaani cha Dogodogo Kigogo (Dogodogo Centre Street Children Trust), Sabas...
View ArticleWorld Panel Zambia, Ltd. Celebrates Official Launch of Solar Chargers
World Panel Zambia CEO Jacob Sikazwe speaking about empowerment. Fast, Durable, and Portable Solar Phone Charger to Empower All Regions of COMESA World Panel Zambia Ltd. (www.world-panel.com) launched...
View ArticleSautiSol, Yamoto Band, Skylight Band na wengine kibao kupamba BEAUTY & MUSIC...
#LIPALA DANCE Itachezeka kisawa sawa hapo kesho! Tiketi zinapatikana kwenye vituo vifuatavyo
View ArticleBiolands yakabidhi msaada wa Ambulance Nissan Patrol kwa halmashauri ya...
Jukwaa ambapo sherehe ya Makabidhiano ilifanyika. Gari la Kubebea wagonjwa likiwa linaingia kwa ajili ya Makabidhiano. Meza Kuu Meneja Mkuu msaidizi wa Biolands(Kulia) akimkabidhi na kupongezana na...
View ArticleKampuni ya matangazo yanayotembea (TRIA) yazinduliwa rasmi Tanzania
DIANA LAVENDER Meneja Mauzo na Masoko kampuni ya CONICA MINOLTA akisoma risala yake wakati wa uzinduzi wa matangazo hayo. TRUSHAR KHETIA Mkurugenzi mtendaji wa TRIA akikata utepe wakati akizindua...
View ArticleKikwete aagiza Halmashauri zinunue nyumba NHC
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma. (Picha zote kwa hisani ya...
View ArticleWatu kumi wamefariki dunia na majeruhi saba katika ajali mbaya iliyotokea...
Hivi ndivyo ambavyo Daladala hiyo ilivyojibamiza muda mchache uliopita Eneo hili la ubavuni ndipo eneo ambalo Daladala hiyo iliingia na Kujigonga Gari hilo aina ya Tata likiwa limepaki pembeni Muda...
View ArticleRais Kikwete ahitimisha ziara ya mkoa wa Morogoro, afanya majumuisho na...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent Kalogeris alipowasili katika ukumbi wa shule ya msingi Gairo ya kwenye kikao...
View ArticleHealthy Food Substitutes
Whether you’re health conscious or a little overweight or blessed with a speedy metabolic rate, keeping an eye on your diet is always recommended. Cutting down your food intake isn’t always the answer....
View ArticleWanaume wengi waoga kusindikiza wake zao Kliniki – TMEP
Meneja mawasiliano wa mradi wa ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia unaofadhiliwana shirika lisilo la kiserikali la nchini Sweden (Sweden association for sexual...
View ArticleWajumbe wa Bunge Maalum wapigwa msasa masuala ya kijinsia mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Anna Abdallah akifungua Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge...
View ArticleShirika la Sweden ‘RFSU’ laendesha mafunzo ya azazi ujinsia kwa wandishi wa...
Meneja wa project ya TMEP, Cuthbert Maendaenda akitoa mada yake ya ushiriki sawa wa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia wakati akitoa mafunzo kwa waandishi wa mikoa ya Singida na Rukwa....
View ArticleWanawake wataka umuhimu wa uwepo wa masuala ya jinsia katika Katiba
Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Bi. Usu Mallya akitoa mada kuhusiana na suala la kijinsia katika Katiba, wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na...
View ArticleTANESCO yawatesa wananchi wa Mwanagati Kitunda kwa kukosekana umeme siku tatu...
Na Mwandishi wetu Kwa habari tulizozipokea hivi punde toka kwa wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam zinasemekana kwamba wananchi wa maeneo haya hawana umeme kwa siku 3 mfululizo usiku na...
View ArticleTahadhari ya Upepo mkali na mawimbi makubwa katika maeneo yote ya ukanda wa...
TAHADHARI 31-08-2014 by moblog
View Article