Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini afunga kambi ya UVCCM

$
0
0
 

Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood  Akimkabidhi cheti Kada UVCCM Wilaya ya Morogoro mjini CCM,Wakati wa kufunga kambi ya UVCCM kutoka kata za Manispaa ya Morogoro eneo la Morning Site kata ya Milimani.

IMG_0103

Mbunge wa Jimbo la Morogoromjini Mh Aziz Abood akiwaongoza vijana wakati wa kula kiapo mara baada ya kumalizika kwa kambi ya umoja wa vijana CCM wilaya ya Morogoromjini Akiwa sambamba na Katibu wa CCM wilaya ya Morogoro mjini nyuma,Pamoja na Katibu wa uvccm wilaya ya Morogoro mjini Kulia.

Baadhi ya washiriki waliomaliza kambi ya Uvccm Wilaya ya Morogoro mjini jana.

Washiriki wa Kambi ya Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Morogoro wakila Kiapo Mbele ya Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini

IMG_0107
  Mbunge wa Jimbo la Morogoromjini Mh Aziz Abood  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa kambi ya UVCCM Wilaya ya Morogoro Mjini.

Mbunge wa Jimbo la Morogoromjini Mh Aziz Abood  akitangaza rasmi kumalizioka kwa kambi hiyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles