SIKIKA yakanusha tuhuma za Madiwani, halmashauri Kondoa Dodoma
Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele ya waandishi wa Habari jana Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa iliyotolewa na...
View ArticleSerikali yatoa ufafanuzi kuhusu wanajeshi wastaafu kudai Sh. Milioni 3
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene. Gazeti la Kiingereza la The East African, Toleo Na. 1030 lililochapishwa mwishoni mwa wiki, Jumamosi, Julai 26, 2014, limeandika habari yenye...
View ArticleTaarifa kwa umma kuhusu kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola
Press Release Agosti 2014 by moblog
View ArticleRais Kikwete atembelea taasisi ya afya ya Marekani (National Institute Of...
President Jakaya Mrisho Kikwete with Reasearch fellow and Senior Lecturer at the Muhimbili University of Health Sciences, Dr Julie Makani (left) and Prof. Mwaikambo during his familiarisationtour of...
View ArticleSBL yatangaza rasmi msimu wa ‘Fiesta 2014’
Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Ephraim Mafuru akigonga ‘cheers’ katika uzinduzi rasmi wa msimu wa Serengeti Feista 2014. Hafla hiyo ilifanyika Serena hoteli Dar es salaam. SBL...
View ArticleStar Oils kampuni dada ya MeTL GROUP yapata mkopo wa bilioni 100 kutoka NBC
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bi. Mizinga Melu akizungumza kwenye hafla ya utiliaji saini wa mkopo wa bilioni 100 za kitanzania baina ya benki yake na kampuni ya MeTL mwishoni mwa wiki jijini Dar es...
View ArticleTASAF kunusuru kaya masikini
Na Mwandishi wetu Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Manyoni, Mkoani Singida, umeanndikisha kaya 8,113 kati ya kaya 8,404 zilizotambuliwa na mpango huo katika kipindi cha kuanzia Aprili hadi...
View ArticlePinda akitetea na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Frederick Msigallah mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Frederick Msigallah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Agosti 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
View ArticleSSRA yazidua kanuni mpya za kuhuisha mafao ya pensheni
Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya kuwa na...
View ArticleTigo yafunika maonesho ya Nane Nane mkoani Lindi
Umati wa watu waliofurika kwenye banda la Tigo Nanenane mkoani Lindi kushuhudia promosheni mbali mbali zitolewazo na kampuni hiyo. Wananchi wa Lindi wakishuhudia burudani ya sarakasi iliyoandaliwa na...
View ArticleJK: Nataka kuwa Rais wa mwisho kuongoza Tanzania masikini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa anataka na anatamani kuwa Rais wa...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Katavi atembelea banda la Mbeya yetu nane nane amwaga sifa...
Banda la Mbeya yetu Blog. Mtoa Maelezo kutoka Tone Multimedia Group kupitia Mtandao wao wa Mbeya yetu Blog Fredy Anthony Njeje wa kwanza kulia akitoa maelezo ya kina kwa Mkuu wa Mkoa wa katavi...
View ArticleWatanzania waendelea kumiminika katika Banda la NHC nanenane kujipatia huduma...
Afisa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa NHC, Bi. Edith Nguruwe (katikati) akimuelekeza mwananchi aliyetembelea banda la NHC, kujaza dodoso la kufahamu uwezo na mahitaji ya nyumba kwa wananchi. (Picha...
View ArticleDkt. Bilal afungua kongamano la Kimataifa la Sayansi kwa nchi za Afrika na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Chuo cha Nelson Mandela cha jijini Arusha wakati alipowasili kwa ajili ya kufungua...
View ArticleGlobal Education Link kusaidia mikopo vyuo vikuu
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Global Education Link (GEL), Abdumaliki Molle. Na Mwandishi wetu TAASISI ya Global Education Link (GEL), inayojishughulisha na masuala ya elimu ya juu, imesema ipo...
View ArticleMfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) wakabidhi Msaada wa Vitabu kwa Taasisi 48...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Emmanuel Matee akielezea historia ya mfuko huo kwa wadau mbalimbali wa elimu katika hafla ya kupokea vitabu kwa ajili ya shule za Msingi,...
View ArticleNape azungumzia midahalo inayoendelea
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) na ambapo alisema kitendo cha Tume ya Katiba kukishambulia na kukisakama Chama Cha Mapinduzi haikuwa...
View ArticleMakamu wa Rais Dkt. Bilal Mgeni rasmi mkutano wa wanasayansi vijana duniani
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal. Na Rose Masaka, MAELEZO Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi wa kongamano la wanasayansi vijana duniani linalotajiwa kufanyika...
View ArticleWorth Reading: Toward Forgiveness!
My teacher always said that forgiving was not an act, but an inner state. Similar to light that falls upon whatever comes in front of it, when we are in a state of forgiving, we forgive anyone,...
View ArticleJK: Tunakwamishwa na uzalishaji na matumizi madogo mno ya umeme
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Goodluck Jonathan wakati muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya...
View Article