Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

SSRA yazidua kanuni mpya za kuhuisha mafao ya pensheni

$
0
0

A

Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma juzi kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya  Hifadhi ya Jamii ya kuwa na aina moja kwa wastaafu.Katikati ni Mwenyekiti wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Juma Muhimbi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Irene Isaka.

E

Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Gaudensia Kabaka, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.

B

Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Irene Isaka akifurahia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari mjini Dodomajuzi.

WAKURUGENZI WA MIFUKO

Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wakimsikiliza Waziri wa Kazi na Ajira Dk Gaudensia Kabaka,kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Kuhuisha Mafao ya Pensheni kwa Mifuko ya  Hifadhi ya Jamii ya kuwa na aina moja kwa wastaafu kupitia Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).

C

Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wakiwa katika picha ya pamoja na  Waziri wa Kazi na Ajira Dk Gaudensia Kabaka na Naibu wake Makongoro Mahanga.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles