Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF yateta na wahariri mjini Bagamoyo

  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF Khamis Mdee akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kwenye hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo asubuhi hii wakati wa seina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais wa China arejea nchini kwao

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (kushoto) pamoja na Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe, Dkt. Gharib Bilal (kulia) wakipeana maneno ya mwisho katika Uwanja wa Ndege wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akutana na Wataalamu watatu wa utafiti wa chanjo ya Malaria...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dr. Ally Olot, mtafiti wa chanjo ya malaria na kiongozi wa watafiti wa Ifakara Health Institute (IHI) Malabo, Equatorial Guinea) walipomtembelea kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Seif ashauri kamati za misikiti nchini

Balozi Seif akizungumza na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Kijiji cha Kiboje Mamboleo mara baada kuufungua msikiti wao wa Ijumaa uliofanyiwa matengenezo makubwa.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ)....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda akutana na wazee wa Babati na Kigoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda   akizungumza na wazee kutoka kijiji cha Kwaraa, Babati  wakiwa na Mbunge wao wa Babati Mjini, Kisyeri Chambiri (watatu kushoto) ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Juni 28,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel Tanzania ni kampuni ya kwanza ya mawasiliano nchini kuingia mkataba wa...

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na Apple ilipofanya uzinduzi wa simu mpya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hotuba ya Mhe. Waziri Mkuu Pinda ya kuhitimisha mkutano wa 15 wa Bunge

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. 28.06.2014 Hotuba Ya Mhe. Wm Ya Kuhitimisha Mkutano Wa Kumi Na Tano Wa Bunge La Bajeti Final Waandishi by moblog

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

How Internet Works!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KCB yazindua Akaunti ya taasisi za kijamii nchini

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania, Godfrey Ndalahwa  akiongea na wadau wa Taasisisi za kijamii(hawapo pichani)wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa lengo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku ya mwisho wakaribisha watu...

Kiongozi wa shule ya Jumapili wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho,Dr, Emanuel Kandusi akiwapatia maelezo mbalimbali kwa watu waliotembelea kanisa hilo wakati wa siku ya wazi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washiriki 20 wa shindano la TMT waingia rasmi kambini jana usiku, tayari kwa...

Muonekano wa TMT House ambayo washiriki 20 wa Shindano la Tanzania Movie Talents wameweka kambi rasmi kuanzia jana Usiku kwa mchakato wa kuwania Milioni 50 katika fainali itakayofanyika Mwishoni mwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Everyday Life In Indonesian Villages

Herman Damar, a self-taught photographer in Indonesia, has captured beautiful moments from the everyday lives of villagers living outside of Jakarta, the nation’s capital. His photographs, especially...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mradi mpya wa SHUGA unaoelekeza kupunguza Maambukizi ya VVU kwa Vijana...

Meneja wa kituo cha Sengerema FM Redio, Ndg. Felician Ncheye, akitoa nasaha za ukaribisho kwa washiriki wa mradi wa SHUGA na mgeni rasmi. Katikati ni Mgeni rasmi Mratibu wa UKIMWI halmashauri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Malisili na Utalii azindua maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya...

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akipongezana na Balozi Charles Sanga Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB mara baada ya kuzindua rasmi SITE ya Maonyesho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda akutana na mameya na wenyeviti wa halmashauri mjini Tanga

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na baadahi ya washiriki wa mkutanono kati yake na Mameya ya Majijiji Miji na manispaa pamoja na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya mjini Tanga Juni 30,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa kampuni ya Viettel Group Ikulu Dar

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel Group ya nchini Vietnam Bwana Le Dang Dung ikulu jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Raisa ndie Redds Miss kanda ya Kaskazini

Hawa ndio washindi wa Redd’s Miss kanda ya Kaskazini kwa mwaka 2014. Hawa ni wadhimini wa shindano hilo kutoka Minjingu. LEMUTUZ nae alikuwemo ndani ya Redd’s Miss Kanda ya Kaskazini  bila kumsahau...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sera za Harriet Shangarai mgombeya wa jumuiya ya watanzania DMV

Na Hariet Shangaei Washington DC Ndugu WanaDMV, kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kujitambulisha kwenu rasmi kama Mgombea wa Nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV. Hariet...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Basi la Lushanga laua mmoja na kujeruhi wawili Sengerema, Picha na habari...

  Kijana ambaye ni dereva wa toroli la miguu minne jina lake halikuweza kupatikana mara moja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 32 amefariki dunia papo hapo na kupasuka Kichwa baada ya kugongwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waliomuua sista na kuchukua hela watiwa mbaroni!

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova. Na MOblog Team Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam inawashikilia watuhumiwa wawili wa ujambazi wanaohusishwa na mauaji ya mtawa...

View Article
Browsing all 5755 articles
Browse latest View live