Hawa ndio washindi wa Redd’s Miss kanda ya Kaskazini kwa mwaka 2014.
Hawa ni wadhimini wa shindano hilo kutoka Minjingu.
LEMUTUZ nae alikuwemo ndani ya Redd’s Miss Kanda ya Kaskazini bila kumsahau mwenyekiti wa Taswa Juma Pinto.
Mkuu wa mkoa wa Arusha pamoja na mkuu wa mkoa wa Manyara waliuthuria katika usiku huo wa kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini ambapo katika shindano hilo warembo wanne wa mwanzo wataingia katika kambi ya Redd’s miss Tanzania.
Hashim Lundenga akitangaza washindi wa tatu bora.
Warembo ukumbini na wimbo wa ufunguzi.
Papa Mwandago akimwaga maneno akiwa kama muandaaji mkuu wa shindano hili
Top Five
Waandaji wa shindano hilo wakiwa wamekaa kwa mapozi wakifuatilia shindano.(PICHA zote na libeneke la kaskazini blog).












