Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku ya mwisho wakaribisha watu mbalimbali katika Kanisa lao

$
0
0

IMG_0152

Kiongozi wa shule ya Jumapili wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho,Dr, Emanuel Kandusi akiwapatia maelezo mbalimbali kwa watu waliotembelea kanisa hilo wakati wa siku ya wazi kwa ajili ya watu mbalimbali kuangalia shughuli zinazofanywa na kanisa hilo.

IMG_0131

Mwakilishi wa Darasa la Mkono msaidizi wa akina mama Happy Ayubu akitoa maelezo kwa watu waliotembelea kanisa hilo.

IMG_0134

Baadhi ya watu waliotembelea kanisa hili wakipata maelekezo mbalimbali.

IMG_0110

Baadhi ya watu waliotembelea kanisa hili wakipata maelekezo mbalimbali.

IMG_0139

Muumini wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho Framers Ngosha akijibu maswali ya watu waliojitokeza katika siku hiyo.

IMG_0161

Kiongozi wa shule ya jumapili wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho,Dr, Emanuel Kandusi ‘kulia’ akionesha vitabu vinavyotumika kwa ajili ya mafunzo kushoto ni Rais wa tawi la Mbezi Beach, Malabi Kyubi.

IMG_0171

Rais wa tawi la Mbezi Beach, Malabi Kyubi akitoa maelezo.

IMG_0180

Baadhi ya watu mbalimbali waliotembelea katika kanisa hilo lililopo Mbezi Beach.

IMG_0184

Baadhi ya watoto wa waumini wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za mwisho wakicheza na kuimba wakati wa siku ya wazi kwa watu kutembelea na kuona mambo mbalimbali iliyofanyika katika kanisa lao la Mbezi Beach jijini Dar es salaam.

IMG_0186

IMG_0189

Watu waliotembelea wakipata maelezo mbalimbali.

IMG_0194

Baadhi ya watu waliotembelea katisa hilo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles