Dkt Bilal azindua mtambo wa maji taka wa kiwanda cha Serengeti cha Mwanza
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimia wananchi wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha mjini Mwanza.(Picha na OMR). Makamu wa Rais...
View ArticleWarsha ya kuwajengea uwezo wanahabari kuhusu uandishi wa habari za kitakwimu...
Mkurugenzi wa Takwimu za Kijamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Morice Oyuke (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mjini Morogoro leo wakati akifungua Warsha ya siku moja...
View ArticlePinda ampokea Makamu wa Rais wa China jijini Arusha
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana na Makamu wa rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha Juni 21, 2014 kwa ziara ya kikazi...
View ArticleSci-Fi Technologies Moving Us Closer To Immortality
The average life expectancy is constantly rising as we improve our knowledge of medicine and the human body. We have eradicated diseases, discovered powerful treatments, and figured out how to fix...
View ArticleRC Mwanza azindua msimu wa ununuzi wa pamba 2014/15
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo. Na Mwandishi Wetu MKUU wa mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo, hivi karibuni amezindua rasmi msimu wa ununuzi wa pamba wa 2014/15 katika kijiji cha...
View ArticleWaziri Membe azindua filamu mpya ya “I Love Mwanza” Jijini Mwanza
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), akisadiwa na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, kukata utepe kuzindua filamu mpya...
View ArticleWabunge wapata semina ya Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika ya...
Mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji wa Uchumi Dkt. Mary Nagu akifungua semina ya Wabunge kuhusu Itifaki ya Umoja wa Fedha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jana katika ukumbi wa...
View ArticleTanesco kushirikiana na REA kupeleka umeme vijijini
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mhangwa Kitwanga, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kayui kata ya Mitundu jimbo la Manyoni magharibi. Na Nathaniel Limu, Manyoni SERIKALI imeliagiza...
View ArticleMakamu wa Rais, Dkt. Bilal amkaribisha Makamu wa Rais wa China na Ujumbe wake...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar...
View ArticleKamanda Kova azindua Pikipiki ya HERO DAWN 125 cc
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (katikati), na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Astarc Motors Tanzania Ltd, Sameer Musale (kushoto), akifungua kitambaa kuashiria...
View ArticleBenki ya Barclays yatoa somo la ajira kwa wanafunzi wa UDBS
Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Barclays Tanzania, Anna Chacha (kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) jana kuhusu fursa mbalimbali za...
View ArticleRolex Announces Young Laureates of 2014 Global Awards Programme
Five young visionaries from Africa, India, Europe and the Middle East were announced today as winners. Five young visionaries from Africa, India, Europe and the Middle East were announced today at...
View ArticlePinda ahudhuria mkutano wa Benki ya Dunia
Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda akizungumza na waandishi wa habari nje ya Hotel ya Serena ambapo alihudhuria Mkutano wa Tano unaohusu masuala ya Uchumi,kulia kwake ni mkurugenzi wa...
View ArticleWadau wakutana leo kujadili utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia...
Meneja Mradi wa Mazingira UNDP, Helene Gichenje akifafanua jambo kwa wadau wa mazingira wakati wa mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za...
View ArticleManispaa ya Ilala yasaini mkataba wa bilioni 2.1 kwa ajili ya ujenzi wa mradi...
Meya Wa Ilala Mh Jerry Silaa Akiwasili kata ya Kipunguni na kupokelewa na Diwani wa kata hiyo Na Viongozi wengine . Mkandarasi wa kampuni Kika Construction Mbaraka Kihawe akimkaribisha Meya wa Ilala...
View ArticleSera za Libetatus Mwang’ombe mgombea wa jumuiya ya watanzania DMV
Kutakuwa na Mkutano wa Sera za Mkombea wa Jumuia ya waTanzania DMV Bwana Liberatus Mwang’ombeAtakachoongea katika mkutano wake ni Kuhusu Elimun Diversity visa Lotterry/ YOUNG African Leaders...
View ArticleDkt. Bilal azindua sherehe za Kijadi za Wasukuma wilayani Magu mkoa wa Mwanza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhiwa Usinga na wazee wa kijiji cha kisesa wilayani Magu baada ya kusimikwa kuwa kiongozi wa kabila la wasukuma na,...
View ArticleRais Kikwete apokea Tuzo ya Uongozi Bora nchini
Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha...
View ArticleMakamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) akutana na Makamu Mwenyekiti wa Rais wa China
Viongozi wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao (hayupo pichani) kwenye Hotel ya Serena jijini...
View Article