Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Dkt Bilal azindua mtambo wa maji taka wa kiwanda cha Serengeti cha Mwanza

$
0
0

IMG_0080

 Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimia wananchi wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha mjini Mwanza.(Picha na OMR).

IMG_0058

Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib  Bilal akifungua kipazia kuzindua Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha Mjijini mwanza kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya kiwanda cha Serengeti.

IMG_0052

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akikatautepe kuzindua mtambo wa Maji taka ya kiwanda cha Serengeti cha Mjini Mwanza kulia Mwenyekiti wa Bodi Nehemiah Mchechu kushoto Mkurugenzi Mtendaji Bw Steve Gannon.

IMG_0072

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipata maelezo kwa Inspekta wa Mazingira Bi Anna Mangara  juu ya maji yaliyosafishwa kwenye Mtambo wakusafishia Maji taka kwenye kiwanda cha Serengeti cha mjini mwanza.

IMG_0099

Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib bilal wakizungumza jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Kiwanda cha Serengeti cha Mwanza Bw  Nehemia Mchechu wakati wa Uzinduzi wa mtambo wa kusafishia Maji taka ya kiwanda cha aserengeti cha jijini Mwanza.

IMG_0129

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya Pamoja na wafanyakazi wa kike wa Kiwanda cha Serengeti cha Jijini Mwanza.(Picha na OMR).

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles