Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Pinda ampokea Makamu wa Rais wa China jijini Arusha

$
0
0

PG4A3067

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akiongozana na Makamu wa rais wa  Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha  Juni  21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A3097

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akiongozana na Makamu wa rais wa  Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha  Juni  21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya  Rais, Utawala Bora, Capt.George Mkuchika.

PG4A3170

Waziri Mkuu, Mizego Pinda  akizungumza na Makamu wa Rais wa China , Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha.

PG4A3185

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza na Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha  Juni  21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini.  Kulia ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Rais, Utawala Bora, Capt. George Mkuchika. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles