Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Wadau wakutana leo kujadili utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za kupambana na mabadiliko ya tabianchi

$
0
0

unnamed

 Meneja Mradi wa Mazingira UNDP, Helene Gichenje akifafanua jambo kwa wadau wa mazingira wakati wa mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za misaada za kupambana na mabadiliko ya tabianchi.

unnamed (1)

Msimamizi wa masuala ya mabadiliko ya tabinachi wa UNDP, Abbas Kitogo akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za misaada za kupambana na mabadiliko ya tabianchi.

unnamed (2)

Baadhi ya wadau wa mazingira waliohudhuria mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za misaada za kupambana na mabadiliko ya tabianchi.

5

Meneja Miradi wa Forum CC, Fazal Issa akifuatilia mjadala.

unnamed (7)

Mtaalamu wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi Damian Kasmiri, ambaye alikuwa mwezeshaji katika mkutano huo akifafanua baadhi ya masuala kwa wadau wa mazingira.(Picha zote na tabianchi blog).

unnamed (3)

unnamed (5)

unnamed (6)

unnamed (8)

unnamed (9)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles