Indian Woman Miscarries 10 Babies In One Night
In what’s being called a medical record in India, a 28-year-old woman in Madhya Pradesh miscarried 10 babies in one night this week. The Indo-Asian News Service reports that Anju Kushwaha delivered...
View ArticleSlippery slope – Metals struggle to find footing in 2013
Commodities report: 2013 roundup & gold, silver and copper performance 2014 outlook By Damas Makangale, MOblog Amidst write downs, a drop in commodity prices and lower revenues, gold, silver and...
View ArticleAkemi yatimiza mwaka mmoja kuvutia utalii Dar es Salaam
Mgahawa wa kisasa ambao unatajwa kuwa ni moja kati ya vivutio vya utalii jijini Dar es Salaam unaojulikana kama Akemi, umetimiza mwaka mmoja kwa kuleta mapinduzi makubwa katika sekta ya huduma za...
View ArticleTanzania: Police Arrest 38 Women for Female Genital Mutilation
Inspector General of Police (IGP) Said Mwema. Tanzanian Police have arrested 38 women for carrying out illegal genital cutting on a group of girls, a local mayor said early this week. The women were...
View ArticleUtafiti wa Kisayansi wagundua nusu ya wanafunzi darasa la Saba hawawezi...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dakta.Shukuru Kawamba. .Utafiti huo uliozinduliwa Dar es Salaam, unaonyesha pia kuwa asilimia kumi na moja ya wanafunzi wa darasa la saba hawawezi kufanya hesabu...
View ArticleTahariri: Posho kwa wawakilishi wa wananchi ni kikwazo kwa maendeleo ya Taifa
Na.Mhariri wa MOblog Ingawaje Tanzania inaitwa nchi masikini pamoja na kwamba wahisani na wadau wa maendeleo wanasema ni nchi inayoendelea lakini kwa ujumla na kwa yeyote anayeijua nchi yetu kwa maana...
View ArticleWanafunzi waongoza washindi wa Pambika na Samsung Droo ya Tano
Mshindi wa Luninga ya LED 32’ katika droo ya tano ya Pambika na Samsung Bw. Abbas Murtaza akipokea zawadi yake toka kwa Meneja wa Samsung Tanzania Bidhaa za Majumbani Bw. Raghu shetty katika hafla ya...
View ArticleMwanafunzi nchini Uingereza atengeneza shati lenye kuzuia uchafu wowote hata...
Jinsi nguo hiyo inavyoweza kukataa kuingiza uchafu na kuzuia maji kuingia au kupenya ndani. .Ni aina ya Silic (material) ina maelfu ya nyuzi zinazozuia uchafu wa aina yeyote .Mashati hayo sasa kuingia...
View ArticleJeshi la Polisi latakiwa kuongeza ushirikiano na ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Kamishna Mpya wa Polisi Zanzibar Bwana Hamdan Omar Makame aliyefika Ofisini kwake katika jengo la Baraza la Wawakilishi...
View ArticleWakala wa kusimamia uegeshaji wa magari wawa kero jijini Dar, washuhudiwa...
.Kwa mujibu wa Sheria hairuhusiwi kufunga gari la mtu wakati yumo ndani ya gari .Zaidi ya hapo ni Rushwa tu .Usawa wa kijinsia uzingatiwe pia Askari wa Manispaa ya Ilala wakiwa wanafunga gari aina ya...
View ArticleSheria ya kudhibiti uhalifu katika mitandao mbioni kutungwa-Serikali
Mkurugenzi wa TEHAMA wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ally Simba akimkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Patrick Makungu (hayupo pichani) katika ufunguzi...
View ArticleMama Kikwete apewa Tuzo ya Kimataifa ya Uongozi wenye hamasa (Global...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea tuzo ya Uongozi Uliotukuka kimataifa (Global Inspirational Leadership Award 2013) kutoka kwa...
View Article‘Conspiracy’ behind US arrest of Indian envoy
Hundreds have demonstrated across Indian cities protesting against the diplomat’s arrest in the US [EPA].(Source: Aljazeera). Indian foreign minister alleges conspiracy as new details emerge...
View ArticleTanzania-Qatar for stronger economic ties
On the 18th of December 2013, the State of Qatar celebrated its National Day, an historical event which was commemorated in Dar es Salaam in cooperation with the Qatar Embassy, the Ministry of Foreign...
View ArticleTume ya Katiba kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Mhe. Rais Desemba 30 2013
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba. Tume ya Mabadiliko ya Katiba inapenda kuwafahamisha wananchi na wadau wengine wote kuwa Hafla ya kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Rais wa...
View ArticleRais Kikwete alekea nchini Marekani kufanyiwa uchunguzi wa Afya yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini jioni ya jana, Jumatano, Desemba...
View ArticlePress Statement of the Government Tanzania on the Situation in South Sudan...
Minister For Foreign Affairs And International Cooperation, Hon. Bernard K. Membe (MP). The Government of the United Republic of Tanzania is gravely concern with the deteriorating security situation...
View ArticleMhe. Mwinyi Haji Makame aweka Jiwe la msingi la kitengo Kipya cha Matibabu ya...
Jengo jipya la kitengo cha matibabu ya Uti wa mgongo na Ubongo linalojengwa kwa mashirikiano ya Serekali ya Spen na ya Zanzibar. - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mhe. Mwinyi Haji...
View ArticleSMZ yakusudia kujikita katika utafiti kwa ustawi wa jamii
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Waziri wa Sayansi, Utafiti na Elimu wa Uswisi, Bwana Mauro Dell Ambrogio na ujumbe wake walipofika Ofisini kwake Vuga Mjini...
View Article