Quantcast
Channel: Uncategorized – DEWJIBLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Mhe. Mwinyi Haji Makame aweka Jiwe la msingi la kitengo Kipya cha Matibabu ya Uti wa Mgongo na Ubongo

$
0
0

01

Jengo jipya la kitengo cha matibabu ya Uti wa mgongo na Ubongo linalojengwa kwa mashirikiano ya Serekali ya Spen na ya Zanzibar.

02

- Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mhe. Mwinyi Haji Makame (wakatikati) akiongozana na viongozi mbalimbali kuweka jiwe la msingi la kitengo cha matibabu ya Uti wa mgongo na Ubongo katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, sherehe hiyo imefanyi Mnazi mmoja Hospitali Mjini Zanzibar.

03

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mhe. Mwinyi Haji Makame akifungu pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la kitengo cha matibabu ya Uti wa mgongo na Ubongo katika sherehe zilizofanyi Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar.

 04

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Muh`d Dahoma akimkaribisha mgeni rasmin kusema machache mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi katika sherehe zilizofanyi Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar.

05

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mhe. Mwinyi Haji Makame akiwahutubia wageni mbalimbali katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la kitengo cha matibabu ya Uti wa mgongo na Ubongo huko Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar.

06

Wageni mbalimbali kutoka tasisi za Serikali na madaktari wakimsikiliza mgeni rasmin Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mhe. Mwinyi Haji Makame (hayupo pichani) alipokua akitoa nasaha mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika sherehe zilizofanyi Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 5755

Trending Articles